Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Messi kachukua la liga mwaka huu kwa sababu ya suarez lakin na yeye nampa sifa yake. Iniesta ndio alifunga goli kwenye fainali ya dunia lakin hadi kina Ramos wana pata sifa ya kuwa mabingwa wa dunia. So wala siyo shda hiyo mkuu mpira ni mchezo wa teamwork pia.Duh Kwahiyo hata kombe la mataifa ya ulaya anajivunia vile vile?? na siyo tim yenyewe kwa msaada wa elder??
Halafu ni kweli eder ndio aliwapa kombe kwa kuwa aliwavusha makundi, akawavusha robo na nusu final halafu aka wapa kombe lao[emoji13] [emoji13]