FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kiongozi we ndo hujui mpira unakumbuka Barcelona mwaka jana walikua na difference ya point 12?and Real managed kumkaribia kwa difference ya point 2 hadi tunachukua kikombe?hilo kombe ni la kwetu na limeshatuzoea ndani ya miaka 11 iliyopita tumechukua mara 8 ,ninafahamu ninachokiongea league kwa sasa hv ndo still iko katikati usidhan Madrid kuongoza ndo ma champions kuhusu wachezaji kama hujui tume slip match mbili kwa sababu ya kuwajaribia(rotation) wachezaji hao unaowataja hapo wote ni ma underground kabisa
 
Leo ni mechi ya La Liga kati ya Fc Barcelona dhidi ya Villarreal
Mechi hii tutacheza ugenini

Mechi itachezwa SAA 4:45 usiku

Viva Barcelona

Tunahitaji point 3
Tutashinda japo match ni ngumu kidogo
 
Baada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.
Mkuu huu ni mwaka wa 26 camp nou inachezwa tick tacka sema lingine ujibiwe
 


Hapana mkuu, najua football vizuri sana. Na naiheshimu Barca, timu nzuri inayocheza beautiful football. Kwa taarifa yako tu tangu kipindi ile walivyopunguza gap ya 12 points Real moto wao ni ule ule. Pia napata shaka uelewa wako wa mpira ukiniambia Isco, Morata, James, Kovacic, Asensio na wengineo ni underground players wakati wote wako National teams. Vilevile ukae ukijua hao ndio wanaocheza sasa kwasababu kwa sasa Real wanauguza majeruhi. Huo mwezi 3 unaosema wewe Real itakuwa na Full squad yaani watu kama Bale na Ramos watakuwepo. Msimu huu Barca will chase the table till the end
 
Baada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.

Ofcoz! Hao watatu uliowataja kwa tiktak tusiwaongelee, ila akikosekana hapo mmoja tiktak tuisahau tena na sidhani ka itakuwepo tena,inshort barca itakufa kabsaa na si mwingine MESSI.

Messi ndie anasababisha mpira usikae sehem moja,na ndie anaufanya mpira uonekane kuwa mwepesi na wakasi zaidi, ni wonders kuwahi kutokea kwa players waliopita...Messi atabaki kuwa Messi no way..
 
mpira sio mbaya mpaka half time,lakini naona hitman Suarez kama positioning yake wakati Barca waki forage mbele haijakaa sawa-zile killer instincts zake kidogo zimepungua mida mingi anakimbia tu kama a headless chicken
 
Hodi humu??

Nimechoka nataka nilale, ila Nina karambirambi hapa sijui nani anapokea?? In case of anything!
 
Reactions: PNC
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
 
Hapo mtoe pep, sio kocha yulee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…