HahahaTwo handballs ref haoni au makusudi?
Wenyeji wa humu wamesepa!! Maana ni mabingwa wa mipasho tu na droo yao.Aaaah
Awa jamaa wame zngua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenyeji wa humu wamesepa!! Maana ni mabingwa wa mipasho tu na droo yao.
Njooompira sio mbaya mpaka half time,lakini naona hitman Suarez kama positioning yake wakati Barca waki forage mbele haijakaa sawa-zile killer instincts zake kidogo zimepungua mida mingi anakimbia tu kama a headless chicken
Blaza mwaka huu si wenu aseeLeo ni mechi ya La Liga kati ya Fc Barcelona dhidi ya Villarreal
Mechi hii tutacheza ugenini
Mechi itachezwa SAA 4:45 usiku
Viva Barcelona
Tunahitaji point 3
Man u ina plan b?POSSESSION: 30% - 70% SHOTS ON GOAL: 6 - 20 OFFSIDES: 2 - 2 CORNERS: 2 - 4 INTERCEPTIONS: 10
Timu lenu halina Plan B, mjiongeze bas
Eeh broMan u ina plan b?
Tunazika hapa hapa au tunasafirisha??
Mpo nafasi ya ngap?Eeh bro
Imeshinda mechi nane mfululizo
Huangalii mpira sku hizi!!?
Ya sita aseeMpo nafasi ya ngap?
Mkishika namba 3 mtanistua[emoji13]Ya sita asee
Timu yenu sju mna zeeka!!,
Pogba hakusikitishi[emoji23]Timu yenu sju mna zeeka!!,
Halafu Neymar naye bora apumzike maana kila anavo cheza ana zidi kinisikitisha asee.