Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
mechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.