FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.
mechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.
 
mechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.
Chief inamaana last week na sevilla hukuona kile kikosi... Tuwe tunapenda ongea ukweli... Barca hawana kikosi kipana na ndicho kinawacost
 
We akili yako sio nzuri mwaka 2015-206 tumechukua Laliga wakati Messi amekaa injured miezi miwili na nusu na hata tulipowapiga 4-0 Messi aliingia kama substution!!na amerudi tukaendelea kucheza match 43 bila kufungwa nyie hata match 30 za ushindi hamjafikisha mmeshaona mmeshinda Laliga?utakuja kuniambia hapa mwisho wa msimu nani bingwa
Kiongoz nielekeze kidogo ninachojua Madrid wameequal mechi 39 unbeaten run wameifikia record ya Barcelona sasa hili mechi 43 bila kufungwa hii record ya wapi!? Na Madrid sio hajafikisha mechi 30 keshaequal your history.. Hebu nieleweshe mkuu hiz info zako umetoa wapi za mechi 43 na Madrid 30
 
Hahaha
Ame zidisha tuu, si unajua ushabiki.
 
Enrique unamuonea.. Jiulize badala ya Messi.. Neymar.. Suarez.. Ww kocha unasub ipi ya kishindo
alipewa nafasi ya kutafuta watu wazuri akaenda kuleta Gomes, Vidal, Paco na Turan naye hajafit bado. sasa hapo tusiseme ana makosa?
 
Mli ishia mechi 39 tu bila kufungwa.
Messi kweli aliumia but alivorudi akiwasaidia mnooo. So mna mtegemea japo siyo ki hivoo. Nadhani asipo kuwepo Iniesta nyie ndio mnakuwa hopeless
Ha ha ha so unataka messi na iniesta waisaidie Madrid?we unajua maana ya key player?nyie hapa dada yenu mwsho wa msimu alipata injury mkawa mnaoata ushindi wakusua sua unadhani hatukuaona?
 
Screenshot_2017-01-08-05-44-26-1.png

Haya haters kabla hamjafungua bakuli lenu undeniable fact hii hapa mko top of the league mnaona mmeshalipata .Penaldo tangu aje Spain amewahi kuligusa mara moja tu
 
Ha ha ha so unataka messi na iniesta waisaidie Madrid?we unajua maana ya key player?nyie hapa dada yenu mwsho wa msimu alipata injury mkawa mnaoata ushindi wakusua sua unadhani hatukuaona?
Nyie iniesta akiwepo hamshindi wenzenu juzi tume mpiga sevilla key players wote wakiwa hawapo.
Ki ufupi hamna depth kama yetu.
 
Nyie iniesta akiwepo hamshindi wenzenu juzi tume mpiga sevilla key players wote wakiwa hawapo.
Ki ufupi hamna depth kama yetu.
We akili yako sio nzuri hivi defending champion wa copa de ley ni nani?uko kiushabiki sana na simulizi za kukaririshwa na wachambuzi (wasimuliaji) wa kibongo
 
We akili yako sio nzuri hivi defending champion wa copa de ley ni nani?uko kiushabiki sana na simulizi za kukaririshwa na wachambuzi (wasimuliaji) wa kibongo
Unataka tuanze matusi ama vipi maana sku elewi!!?

Sasa definding champion mi ina nihusu nini!!? Nimekulelkeza kuwa hamna depth kwenye kikosi chenu, ukiondoa first eleven tu bench lenu kavu, sasa hapo nimekaririshwa wapi!?
Acha kuzingua
 
Barcelona ndo team ya decade haters tafuta cha kusema huu mwaka na UEFA pia ni target yetu pia
Screenshot_2016-12-21-17-55-46.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unataka tuanze matusi ama vipi maana sku elewi!!?

Sasa definding champion mi ina nihusu nini!!? Nimekulelkeza kuwa hamna depth kwenye kikosi chenu, ukiondoa first eleven tu bench lenu kavu, sasa hapo nimekaririshwa wapi!?
Acha kuzingua
Haujui mpira wewe katikati ya league unataka utangazwe bingwa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom