BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Messi never seizes to amaze the world.
Lile faulo sio la dunia hii asee.
Mr free-kick huwa habahatishi, na hakunaga kama yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi never seizes to amaze the world.
Lile faulo sio la dunia hii asee.
Hamna kipa alikuwa jinga sana paleImekuuma..Mr free-kick yule
Ramos ndo aliwaokoa na kichwa chao cha foul uchwaramechi gani ngumu mmecheza bila wenye majina. ile mechi na deportivo mlijaribu nusu muangukie pua na haikuwa mechi ngumu.
Bro nipo bhana
Tumepoteana ndugu yangu
We ungekua una base stats usingelialia hapa kama ukitambua ndani ya miaka 10 Madrid amechukua mara moja La ligaSasa ushabiki bila kuweka stats za ukweli haifai tusiwe mashabiki maandazi
Sawa kaka na leo pia CR 7, ndio ana chukua FIFA PoY usisahau kumpongezaNipo aise mkuu..sema siku hizi nimekuwa mvivu mno kujitokeza,
Muulize tu 2016-2017 nani anaongoza kupiga magoli ya free kick mengi ngazi ya club na national team haters akili zao zinakua fupi aiseeImekuuma..Mr free-kick yule
Kaka hiki nikipengele kingine.. Mkuu me ni shabiki wa Man U... Najua hapa tunarekebishana kwa faida hatubishani.. Sijui kila kitu ila nilitaka uweke record zako vizur kwenye mechi 43 sio sahih ni mechi 39 hayo yakuchukua zaidi ni topic nyengne mkuuWe ungekua una base stats usingelialia hapa kama ukitambua ndani ya miaka 10 Madrid amechukua mara moja La liga
Hamna kipa alikuwa jinga sana pale
Kweli ali nikera kaka
Nafiki hilo hivi anajua the first free kick goal kuingizwa kweny nomination za Puscat goals lilikua la Messi aliwafunga USA copa America 2016?😀na free-kick za nyuma utasema pia makipa walikuwa wajinga? Kabla ht ya kupiga nilijua hilo goli tu😀 chezea king, weka mbali na watoto
Nafiki hilo hivi anajua the first free kick goal kuingizwa kweny nomination za Puscat goals lilikua la Messi aliwafunga USA copa America 2016?
Na kati ya magoli 59 aliyofunga Messi 2016 ,saba ni free kick
Sawa kaka na leo pia CR 7, ndio ana chukua FIFA PoY usisahau kumpongeza
Sija m discredit kuwa yeye ni mpiga faul mbaya😀na free-kick za nyuma utasema pia makipa walikuwa wajinga? Kabla ht ya kupiga nilijua hilo goli tu😀 chezea king, weka mbali na watoto
Barca inapaswa kuundwa wachezaji wengi waliosajiliwa miaka ya karibuni wameshindwa kufit kwenye system Vermaelen,Mathieu,Alex Vidal,Arda Turan,Paco Alcacer na Andre Gomes.Kwa sasa only Messi ndio anaibeba timu Suarez na Neymar wote wako off form kama itatokea Messi akapata majeruhi hali itakuwa mbaya sana.Barca of late imekuwa not convincing sana-sababu zimekuwa nyingi,eg midfielders not up to the task,Coach ni mbaya etc etc-What I observed na wengi hatulioni ni kwamba for some reasons strike force yetu haifungi magoli-na chances tunapata nyingi sana lakini unashangaa how come that ball did not end up in the net(ingekuwa kwetu usukumani ningeamini labda wizards wako kazini) Barca is not about defence-kufungwa kwa system tunayocheza ni inevitable.Silaha yetu ni ku outscore the opposition-which is not happening at the moment,tunatumaini hii blip itakwisha na goals will come