FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wachezaji wabarcelona hawakuhudhuria kwa sababu za kimchezo ,kesho tuna match muhimu cap Nou na round 16 copa de ley vilevile mshindi alishaandaliwa kwenye mabox kama CCm vile bongo ndio maana wazee wa Barcelona waliivujisha mapema.....wakakana sana kama Mwenyekiti ya tume ya uchaguzi wa bongo results zimekuja zile zile Gaynardo mdo bingwa

What the Catalans did is childish. Leo habari zimevuja wachezaji kama Iniesta individually wanted to be there lakini Board of Directors imewakataza wachezaji kuhudhuria. Halafu unavyodai mshindi kaandaliwa kama kwenye maboksi ya CCM napata wasiwasi na uelewa wako wa football. Inaelekea hata hujui kura zinapigwaje. Punguza kukaa Sana kijiweni, do your own study ujiongeze Mkuu.
 
Uchezaji bora kombe la dunia

Yule kashinda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu bro mbona mi.Messi akishinda huwa nampongeza

Ebu mpongeze Kingnaldo bas
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nadhani kiungwana mkubali mpira una kipindi cha mpito hali haijaanza leo toka xavi tia maji tia maji mpaka anaondoka udhaifu wa timu yenu ukaanza kuonekana mwekundu kaandika vizuri suala la mido litaendelea kuwatesa na iniesta ndio hivyo tena yupo katika saqaratul soka kupata mbadala inahitajika subra na kuwaamini vijana .
 
Washabiki,viongozi,wachezaji wa barca sio wavumilivu na hawakubali kwamba team zingine na wachezaji wa team nyingine ni bora kuliko wao kwa sasa,wakati Messi anakabidhiwa balon D'OR Mara 4 mfululuzo Ronaldo alikuwa pale akipiga makofi (ishara ya muungwana ,upole ,kutojivuna,unyenyekevu,uwana michezo) ,sasa ni Mara ya pili mfululizo anabeba wasio mpenda utasikia tuzo hii imekuwa ya kisiasa ,media jmn tumesahau Ronaldo alifunga kweli Messi akawa anachukua tu tuzo kwasababu ya mafanikio ya team kabeba la liga ,kabeba copa de lay, kabeba uefa nk. Niwambie kitu ambacho ni interesting zamu yenu imepita unless Madrid wabadilishe manager mtateseka miaka kadhaa kushika kikombe chochote naona miaka 3 wachezaji wenu wakiendelea na mgomo wa FIFA awards na malalamiko mengi mkisahau kwamba xavi,iniesta ,busquete katika ubora wao walikuwa nguzo ya mafanikio hawapo tena, wakati ndio mwamuzi tukubali reality CR7 sasa ivi ana assist japo si kama Messi labda , wakati Messi akichukua Tuzo jamaa alikuwa akifunga tu,hii ni sign ya maturity ndio maana Madrid wamefunga magoli mengi kuliko nyinyi .Mpira ni kama collabo flani ivi ukiimba unampisha mwezako
 
Good! Mess ni sifa tu!
 
Sasa hivi anything happen to them wanasema wanafanyiwa njama. Kesi zao mahakamani Real Madrid anahusika na hata wakifungwa wanadai Perez anahusika. Juzi baada ya kutoa draw na Villarreal Pique na menopause yake kaanza kumshambulia Rais wa La Liga, hawana uvumilivu.
 
Mwaga povu ila Barcelona atachukua mfalme na UEFA
 
Mkuu kusema kocha ni mbaya ni tusi na sio fair kumbuka yeye ndo amevunja records zote za makocha invincible waliopita Barca akiwemo Pep na Frank Richkaard sema choo alichoingizwa ni kusajili midfield ambayo bado ana hope nayo sana ya Andres Gomes na Striker uchwara Paco Alcacer
Hawa watu wanasababisha hadi Neyma na King waumie sana ku balance game na hata wanasababisha Basquets aonekane chini ya kiwango so far Denis Suares na Lucas Digne ni tumaini letu sana wadogo wataijenga Barcelona sana especially next season under conditions kocha awe anawapa muda wa kucheza sana
Mwekundu unazingua, Enrique anazingua. Kwani tumeanza kusema leo kuwa timu inahitaji viungo mbadala wa Iniesta na Xavi!?

Kwa mfumo wa Barca watu kama akina Pogba na Dyabala ndo walipaswa wawe vipaumbele kabisa. Nashangaa kuona kuwa wala hatuwatilii maanani. Kuna wakati tulipiga sana kelele kwa Veratti ila mpaka leo kiko wapi!?

Naamini kabisa Thiago Alcantara mpaka sasa angekuwa mbali saaana yule mtoto pale Barcelona.
 
Washabiki,viongozi,wachezaji wa barca sio wavumilivu na hawakubali kwamba team zingine na wachezaji wa team nyingine ni bora kuliko wao kwa sasa,wakati Messi anakabidhiwa balon D'OR Mara 4 mfululuzo Ronaldo alikuwa pale akipiga makofi (ishara ya muungwana ,upole ,kutojivuna,unyenyekevu,uwana michezo) ,sasa ni Mara ya pili mfululizo anabeba wasio mpenda utasikia tuzo hii imekuwa ya kisiasa ,media jmn tumesahau Ronaldo alifunga kweli Messi akawa anachukua tu tuzo kwasababu ya mafanikio ya team kabeba la liga ,kabeba copa de lay, kabeba uefa nk. Niwambie kitu ambacho ni interesting zamu yenu imepita unless Madrid wabadilishe manager mtateseka miaka kadhaa kushika kikombe chochote naona miaka 3 wachezaji wenu wakiendelea na mgomo wa FIFA awards na malalamiko mengi mkisahau kwamba xavi,iniesta ,busquete katika ubora wao walikuwa nguzo ya mafanikio hawapo tena, wakati ndio mwamuzi tukubali reality CR7 sasa ivi ana assist japo si kama Messi labda , wakati Messi akichukua Tuzo jamaa alikuwa akifunga tu,hii ni sign ya maturity ndio maana Madrid wamefunga magoli mengi kuliko nyinyi .Mpira ni kama collabo flani ivi ukiimba unampisha mwezako
Hii ni ndoto hii !!eti enzi zimeisha umenichekesha sana eti kwa sababu unaongoza league and still hata katikati haijafika
Usitukane mamba kabla haujavuka mto [HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
 
Mwaga povu ila Barcelona atachukua mfalme na UEFA

Mapovu alikuwa anamwaga Pique juzi baada baada ya kutoa draw na Villarreal. Mi nafikiri he should try to defend good on the pitch instead of trying so hard to be relevant in the media. Kombe la mfalme Leo ndio unacheza mechi ya mwisho, and too bad about the [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] because Real Madrid and Zidane are about to break the curse this year before anyone does it.
 
What the Catalans did is childish. Leo habari zimevuja wachezaji kama Iniesta individually wanted to be there lakini Board of Directors imewakataza wachezaji kuhudhuria. Halafu unavyodai mshindi kaandaliwa kama kwenye maboksi ya CCM napata wasiwasi na uelewa wako wa football. Inaelekea hata hujui kura zinapigwaje. Punguza kukaa Sana kijiweni, do your own study ujiongeze Mkuu.
Kiongozi mapenzi yanakupofusha we figisu alizofanyiwa Antoine Griezman hauzioni?aya ameshindwa hata kupewa uchezaji bora wa ulaya wakati Uero yeye ndo alikua na magoli mengi?anakuja kupewa mtu ambaye hata fainali hakucheza na wala hakua na signifance kwenye team yake ya Taifa?totally unfair
 
Mapovu alikuwa anamwaga Pique juzi baada baada ya kutoa draw na Villarreal. Mi nafikiri he should try to defend good on the pitch instead of trying so hard to be relevant in the media. Kombe la mfalme Leo ndio unacheza mechi ya mwisho, and too bad about the [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] because Real Madrid and Zidane are about to break the curse this year before anyone does it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Barcelona akifungwa na Bilbo nipigwe life ban
 
Unajua kwa nini Gaynardo alisema Messi angekua wanacheza team moja angepata Ball On Dor nyingi?Fact hii hapa
Screenshot_2016-12-13-06-24-33-1.png

What Ronaldo did to Griezman not fair uchezaji bora wa ulaya deserved it bila ubishi kwa style hii acha figisu za soka ziendelee na Barca wachezaji wake kugoma kuhudhuria gala naunga mko 200%
 
Kiongozi mapenzi yanakupofusha we figisu alizofanyiwa Antoine Griezman hauzioni?aya ameshindwa hata kupewa uchezaji bora wa ulaya wakati Uero yeye ndo alikua na magoli mengi?anakuja kupewa mtu ambaye hata fainali hakucheza na wala hakua na signifance kwenye team yake ya Taifa?totally unfair

Stop believing your lies bro. Na wabongo wengi ndio mko hivi kwa kuamini hisia zenu. Award winners wamepatikana kwa mtindo kupiga kura za wazi kabisa. Voters walikuwa Coaches and Captains of National Teams. Sasa figisu imetoka wapi? Nimeanza kuwa na wasiwasi na kiwango cha uelewa Wako.
 
Back
Top Bottom