FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We ungekua una base stats usingelialia hapa kama ukitambua ndani ya miaka 10 Madrid amechukua mara moja La liga
Kaka hiki nikipengele kingine.. Mkuu me ni shabiki wa Man U... Najua hapa tunarekebishana kwa faida hatubishani.. Sijui kila kitu ila nilitaka uweke record zako vizur kwenye mechi 43 sio sahih ni mechi 39 hayo yakuchukua zaidi ni topic nyengne mkuu
 
😀na free-kick za nyuma utasema pia makipa walikuwa wajinga? Kabla ht ya kupiga nilijua hilo goli tu😀 chezea king, weka mbali na watoto
Nafiki hilo hivi anajua the first free kick goal kuingizwa kweny nomination za Puscat goals lilikua la Messi aliwafunga USA copa America 2016?
Na kati ya magoli 59 aliyofunga Messi 2016 ,saba ni free kick
 
Yeah absolutely kamanda' umenena haswaa..hayo yote anayajua sana..

Mti wenye matunda ndio ambao siku zote hupigwa mawe😀
 
😀na free-kick za nyuma utasema pia makipa walikuwa wajinga? Kabla ht ya kupiga nilijua hilo goli tu😀 chezea king, weka mbali na watoto
Sija m discredit kuwa yeye ni mpiga faul mbaya

Ila jana ujinga wa kipa ndio ulimsaidia, haikuwa impossible angle ile
 
Jose Angel sanchez: Hey zizou im buying Gomes
Zidane: lemme watch his videos for 10 secs
Zidane 10 secs later: Let barca buy him
1f602.png
1f608.png
 
Pique after the Villarreal game insulting La Liga president Tebas in the stands
1f605.png

15895067_1454937151197707_1074724775035430182_n.jpg
 
Ivi Ronaldo bado ajapewa tuzo yake ya mchezaji bora kabisa wa mwaka? Oohh kumbe sio jukwaa hili ,ni jukwaa hili tu watasema hakustahili sisi wengine tutasema kastahili
 
Barca of late imekuwa not convincing sana-sababu zimekuwa nyingi,eg midfielders not up to the task,Coach ni mbaya etc etc-What I observed na wengi hatulioni ni kwamba for some reasons strike force yetu haifungi magoli-na chances tunapata nyingi sana lakini unashangaa how come that ball did not end up in the net(ingekuwa kwetu usukumani ningeamini labda wizards wako kazini) Barca is not about defence-kufungwa kwa system tunayocheza ni inevitable.Silaha yetu ni ku outscore the opposition-which is not happening at the moment,tunatumaini hii blip itakwisha na goals will come
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Barca inapaswa kuundwa wachezaji wengi waliosajiliwa miaka ya karibuni wameshindwa kufit kwenye system Vermaelen,Mathieu,Alex Vidal,Arda Turan,Paco Alcacer na Andre Gomes.Kwa sasa only Messi ndio anaibeba timu Suarez na Neymar wote wako off form kama itatokea Messi akapata majeruhi hali itakuwa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom