BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Huyu goalie safi sana-anaijua kazi za sweeper keeper vizuri,kuna mipira anatoa pass huko nyuma lazima upate heart attack-unakuwa on the edge-football is more then goals-nadhani when it comes to entertainment Barca iko sayari ingine.
huyu Messi sio binadamu wakawaida aisee haiwezekana free kick azifanye ziwe rahisi kama penalty
maneno haya ni machungu upande wa pili😀😀 wakati kuna wengine wakipata penalt duh hawaamini..yeye free-kick kwake ni kama anatoa assist hahaa sijapata kuona tangia nizaliwe, na sitegemei mwingine atatokea like la pulga..weka mbali na watoto..
Duuh,huyu alikuwa under the influence of alcohol nini?? Unaweza comment kuhusu Messi hivi ukapona? au hii news sio kweli??
Mkuu hii ni news serious ingia be soccer utaikuta.Duuh,huyu alikuwa under the influence of alcohol nini?? Unaweza comment kuhusu Messi hivi ukapona? au hii news sio kweli??
Sizani bibie sababu ingekuwa Messi kwake pesa mbele angeshaenda Man City au PSG ila akikumbuka jinsi Barca tunavyomthamini had kuwatimua viongozi wa timu kisa kumuongelea tofautiSoccer la China nimeshindwa kuelewa-Carlos Tevez wa Shanghai Shenua ndio anongoza kwa mshahara duniani-Na huyu Diego Costa naye anataka kwenda na mshahara atakuwa No 2 duniani-ina maana soccer in china makes a lot of money? Exactly what is happening in China-maana hawa jamaa with that much dosh wanaweza kum poach Messi
Football is so funny-tunavyokosa goals-all in all the game is under control. Huyu Messi si angebaki chini!!!! ingekuwa red card na penaltGomes anakosa umakini kwenye kufunga. mbele tumepwaya.
Soccer la China nimeshindwa kuelewa-Carlos Tevez wa Shanghai Shenua ndio anongoza kwa mshahara duniani-Na huyu Diego Costa naye anataka kwenda na mshahara atakuwa No 2 duniani-ina maana soccer in china makes a lot of money? Exactly what is happening in China-maana hawa jamaa with that much dosh wanaweza kum poach Messi
ni kweli kabisa ila King hapendi kujiangusha laiti ingekuwa yule mbebwaji ingekuwa Red CardFootball is so funny-tunavyokosa goals-all in all the game is under control. Huyu Messi si angebaki chini!!!! ingekuwa red card na penalt