FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

huyu Messi sio binadamu wakawaida aisee haiwezekana free kick azifanye ziwe rahisi kama penalty

😀😀 wakati kuna wengine wakipata penalt duh hawaamini..yeye free-kick kwake ni kama anatoa assist hahaa sijapata kuona tangia nizaliwe, na sitegemei mwingine atatokea like la pulga..weka mbali na watoto..
 
Copa del Rey draw in full:
Real Sociedad v Barcelona
Alcorcon v Alaves
Atletico Madrid v Eibar
Real Madrid v Celta Vigo
 
7b42136dd770357267694e71d0b9d6c3.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo Barcelona tupo uwanjani Nou Camp dhidi ya Las Palma
muda ni saa 12:15 E.A T

VIVA BARCELONA
NAIONA FREEKICK NA HATTRICK KUTOKA KWA KING
 
Gazett la "Diari" la Catalunya ukurasa wa kwanza umeachwa mtupu ukiwa na maandishi makubwa MSN,alaafu katika very small print imeandikwa"sorry Las Palmas,MSN start La liga today.
 
Soccer la China nimeshindwa kuelewa-Carlos Tevez wa Shanghai Shenua ndio anongoza kwa mshahara duniani-Na huyu Diego Costa naye anataka kwenda na mshahara atakuwa No 2 duniani-ina maana soccer in china makes a lot of money? Exactly what is happening in China-maana hawa jamaa with that much dosh wanaweza kum poach Messi
 
Sizani bibie sababu ingekuwa Messi kwake pesa mbele angeshaenda Man City au PSG ila akikumbuka jinsi Barca tunavyomthamini had kuwatimua viongozi wa timu kisa kumuongelea tofauti
Hakika King hawezi kuhama
 
1 M. ter Stegen
5 Busquets
7 A. Turan
9 L. Suárez
10 L. Messi
12 Rafinha
14 J. Mascherano
18 Jordi Alba
21 André Gomes
22 Aleix Vidal
23 S. Umtiti
 
Soccer la China nimeshindwa kuelewa-Carlos Tevez wa Shanghai Shenua ndio anongoza kwa mshahara duniani-Na huyu Diego Costa naye anataka kwenda na mshahara atakuwa No 2 duniani-ina maana soccer in china makes a lot of money? Exactly what is happening in China-maana hawa jamaa with that much dosh wanaweza kum poach Messi

Wachina wanapata pesa kupitia pay per view
wana wananchi bilioni 1.3
wenye uwezo wa kulipia tv japo milioni 600
imaggine watu milioni 600 ukiwa charge hata dola 50 kwa mwezi utashindwa nni?
ni mfano tu
 
Barcelona vs Las Palmas
Score: 1 - 0
Min: 3
[emoji840]Yellow to Roque Mesa , Las Palmas

Barcelona vs Las Palmas
Score: 1 - 0
Min: 14
[emoji460] Goal!! Luis Suarez

, Barcelona
 
Back
Top Bottom