Live streaming inanisumbua leo. ila Neymar sijui anamgomo wa kufunga. nimeona chance mbili zikipotea au anajenga jina kwenye assists?Pique first half amefanya sana human errors nyingi tukifika dakika ya 70 tukiwa tumeshinda 4 aingizwe dogo Marlon apashe nae pique apigwe sub
Neyma ana tatizo aisee nadhani nilakisaikolojia zaidi bado naendelea kumu observe hata idadi ya assist zake imepunguaLive streaming inanisumbua leo. ila Neymar sijui anamgomo wa kufunga. nimeona chance mbili zikipotea au anajenga jina kwenye assists?
Ina maana Neymar leo sio man of the match-naona kama nina loose touch katika ku observe mpira-it could be age is catching up-cause all I see ni Neymar opening up defences-na through these openings Barca wanapata break throughNeyma ana tatizo aisee nadhani nilakisaikolojia zaidi bado naendelea kumu observe hata idadi ya assist zake imepungua
Mara nyingi mipira inakufa kwake nadhani apigwe likizo hata ya week mbili hivi atabadilika sana
ni mchezaji muhimu sana na leo kapiga soka jingi huku akiassist kwa mara ya saba. hiyo inamfanya yeye na piatti wawe na assists nyingi zaidi. sema tumemmiss yule Neymar mpachika magoli. wachambuzi wanasema msimu huu anafanya sana defensive roles kitu kinachofanya kiwango chake kionekane kimeshuka. ila bado ni moja ya winger bora duniani.Ina maana Neymar leo sio man of the match-naona kama nina loose touch katika ku observe mpira-it could be age is catching up-cause all I see ni Neymar opening up defences-na through these openings Barca wanapata break through
Neyma we used to see sio wa msimu huu hata statistics zinamkataa anachokifanya kocha ni kum encourage arejee kwenye form yakeIna maana Neymar leo sio man of the match-naona kama nina loose touch katika ku observe mpira-it could be age is catching up-cause all I see ni Neymar opening up defences-na through these openings Barca wanapata break through
Kuna jinga moja hivi anasemaga magolikipa wanafanya makusudi huyo jamaa ni mbururaz wa mburura !!Messi free kick amezigeuza kuwa ni penalty yule mtu ni hatari sanaSiku bahatika kuangalia match ya leo, lkn nimepitia YouTube kuona magoli yalivyo fungwa!! Nimeshangazwa na messi alivyo funga kwa angle kama ile, huyu jamaa ni hatari sana!!! Hivi ana magoli mangapi ya freekick mpaka sasa?
Hahaaaa mkuu chuki zipo tu, so worry out and let's continuou to enjoy messi's freekickKuna jinga moja hivi anasemaga magolikipa wanafanya makusudi huyo jamaa ni mbururaz wa mburura !!Messi free kick amezigeuza kuwa ni penalty yule mtu ni hatari sana
Kwenye puscat goals magoli bora duniani ya msimu haijawahi wamenominate free kick lakini Messi ameingiza goal kwenye list ya mwaka jana match walicheza Argentina vs USA copa AmericaHahaaaa mkuu chuki zipo tu, so worry out and let's continuou to enjoy messi's freekick
Barca msimu huu kule mbele strikers wanapata taabu cause defenders wame find a way ya kujazana kati penetration imekuwa taabu- Neymar kupitia kwenye flanks ndio anayewafikisha Barca deep inside enemy territory-tushukuru against A Madrid tuna cushion ya magoli otherwise absence ya Neymar could have been deeply feltNeyma we used to see sio wa msimu huu hata statistics zinamkataa anachokifanya kocha ni kum encourage arejee kwenye form yake
Sio kama ana kiwango kibaya kihivyo..noo...but sio yule tulimzoea ana dribble na kutoa pass safi za finishing na ukichelewa anafunga mwenyewe !!ukiangalia 1-1 situation you can even predict Neyma anakosa in such situation msimu huu
Twendeni mbele turudini nyuma, Neymar ni KIPAJI. Kwa Brazil sasa hivi hamna kipaji kama Neymar, sifa ya mpira ni mchezaji kuuchezea mpira unavyotaka wewe, na hivi ndivyo afanyavyo Neymar.
Ni kweli anapoteza mipira mingi ila mimi bado nafurahishwa na soka la lake, licha ya burudani tu ila ni mwepesi wa kupika mbele ya mabeki. Tatizo la ukame halina muda litaisha tu.
While a 29 years old Messi stats speak for themselvesHappy 32nd birthday to Cristiano Ronaldo.
802 games
568 goals [emoji460]
215 assists [emoji457]
22 trophies [emoji471]
4 Ballon d'Ors [emoji471]
3 UEFA best player [emoji471]