FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya haya haya tuna match leo 2nd leg ushindi ushindi ndani ya Nou Camp hua supu ya mbuzi hailali pale inaliwa yote
 
Screenshot_2017-02-07-21-04-27.png

Woyooooo pale kati patamu babu and Besquets are back
 
Haya haya haya tuna match leo 2nd leg ushindi ushindi ndani ya Nou Camp hua supu ya mbuzi hailali pale inaliwa yote
A madrid kuingia final inabidi wa overturn deficit ya magoli waliyofungwa nyumbani-hence itabidi achukue risk sana kwenda mbele. Playing against Messi and co huku unamwaga wachezaji mbele unachukua risk kubwa-Bookmakers wanadai we could be witnessing a goals galore- Nou Camp takes no prisoners-it destroys them.
Naomba kujua eti ni nani au ni timu gani ndio waasisi wa attacking full backs duniani? nimeeleweshwa kwamba uchezaji huu haujaanza miaka mingi nyuma
 
I guess Brazil ndio walianza walikua na full backs kama CAFU na R.Carlos ambao ukiambia ni full back unakana cos muda wote wanakua wana attack na huwa wana dribble kama kama strikers
 
Hapa kulikuwa na ubishi,wakati tunasubiri mechi ianze kuna mjuaji mmoja wa soccer kasema R Carlos na Real Madrid ndio waasisi-patner wangu kabisha lakini hajui jibu/au analeta chuki zake dhidi ya R madrid
 
A madrid kuingia final inabidi wa overturn deficit ya magoli waliyofungwa nyumbani-hence itabidi achukue risk sana kwenda mbele. Playing against Messi and co huku unamwaga wachezaji mbele unachukua risk kubwa-Bookmakers wanadai we could be witnessing a goals galore- Nou Camp takes no prisoners-it destroys them.
Naomba kujua eti ni nani au ni timu gani ndio waasisi wa attacking full backs duniani? nimeeleweshwa kwamba uchezaji huu haujaanza miaka mingi nyuma
nilikuwa nawaza na mimi. mchezo wanaotusumbulia ni kufunga nyuma na kutegemea counter. je watakaa nyuma ilali magoli wamezidiwa au watafunguka kama walivyofanya dakika za mwisho za mechi ya kwanza na kurisk kufungwa? vyovyote vile inakula kwao. hilo la attacking fullbacks sijui lilianzaje ila napataka raha kuwaona jordi, Marcelo, Carvajal, Douglas costa, Alaba, valencia na ndugu yetu alves. inaonekana siku hizi hawa ndiyo wanaamua uwezo wa timu.
 
nategemea leo Turan atafanya kazi nzuri winger ya kushoto baada ya kumkosa Neymar. huku akae Vidal na kati zaidi ya busketi na iniesta aongezeke Dennis au Ivan.
 
sergio kala njano ya pili. tumebaki mtu kumi. Dennis katoka kaingia Javier.
 
carasco kala njano ya pili. sasa ni 10-10. turan out busketi in. rakitic out iniesta in.
 
Back
Top Bottom