If that is true, then you are the rarest fan to see.Mchepuko umeniangusha lol,only me Man Utd anaeiappreciate Barca.
Mchepuko umeniangusha lol,only me Man Utd anaeiappreciate Barca.
Ni ujinga na kuikosea heshima PSG kuifanamisha na alves na celta Vigo wapongeze kwa usajili wa kocha na draxler ,ndani ya draxler kuna neymah kumijamaa watu wanamstahi sababu timu huwa inakaza. lakini hana mbinu za kufaa timu kubwa kama yetu. lakini mambo bado maana sisi ni mabingwa wa visasi. celta msimu jana alitupiga nne marudio tukamla sita. na Alves naye juzi. it's not over till it's over. ngoja tujiliwaze na hili song.
Me ni Barca damu kwahiyo nikifungwa roho inauma sana ,tena tunafungwa match ambayo uwezo tunao sema kocha ndio anazingua Bercelona hawana pace na aggressiveness ambayo tunaijua ile touch yetu Lucho unaipoteza inatu cost sana
Nimekereka sana gomes kuanza alaf rakitic anabaki njee yaani hapa mijitu inanitemea mimate tu aghh ushabiki huu mtaa mzima umehamia kwangu....naona ya Bayern yanataka kurudi
Chillax cules. That was just a game which unfortunately did not come in your way..sometimes you win and rejoice, sometimes you lose and shed a tear.bora tungempandisha Eusebio timu ya wakubwa na kama Lucho anampenda sana Gomes ajue ataondoka naye. leo Sergio na Gomes ni kama hawakuwepo. jamaa utafikiri walituzidi watu wawili! kwa utepetevu wa roberto ni bora tujaribu 3-4-3. vinginevyo huu msimu tutakuwa na hali ngumu.
Wote tunajua Roberto ni dhaifu ndiyo maana Draxler kabeba ujiko, hata Torres alimhangaisha sana. Unaikumbuka Celta ya kina Nolito? hiyo ndiyo tuliipiga 6.Ni ujinga na kuikosea heshima PSG kuifanamisha na alves na celta Vigo wapongeze kwa usajili wa kocha na draxler ,ndani ya draxler kuna neymah kumi
poa mkuu. ila kutuita cules nafikiri ni sawa na mzungu kumuita black nigger japo siyo vibaya black kwa black wakiitana🙂.Chillax cules. That was just a game which unfortunately did not come in your way..sometimes you win and rejoice, sometimes you lose and shed a tear.
Let just attest the fact that PSG was at untouchable level of which obviously none of us had imagined, they outshined barca in all spheres starting from the bench. Their coach outsmarted Lucho even in substitute decisions.
Psg was agressive, hard pressing, compactive and to make it worse they took the heart of barca playing style(midfield) off pitch to their pocket.pamoja na juhudi zote za Neymar ila nothing fruitful came out, this shows it was not a good night for barca!!
Wakumlaumu sio Lucho tu pekee bali timu nzima ukitoa Neymar haikuwa mchezoni kabisa. Sijawahi kumuona Messi anapoteza kizembe vile.
Sikuwahi kumuona Suarez ana tanga tanga tu uwanjani kwa sababu ya kukosa mipira kama ikivyokuwa leo.
Iniesta nafikiri now muda wake wakuanza umekwisha, muda wa kumwamini zaidi Raktik ndio huu na hilo linaonekanaga hasa kwenye mechi kama hizi..
Sergio Busquets sio wa kumlaumu pia, he was suddenly frustrated after being booked, na hapo ndipo muda ambao Verrat alimuweka mfukoni na Psg kuua mipango yote ya wacatalan.
Pique na Umitit, asee hawa jamaa wana partneship legevu sana na ndio wamenfanya Draxler awe na usiku nzuri.. Hao ni jipu na litaendelea kutumbuliwa kila kwenye mechi ngumu.
Gimez, huyu dogo kwanza sijui mme muokota wapi he was poor poor off way, na yeye ndio flop wa mechi kwanza sikuelewa kwanin alicheza dakika zote zile.
Pole sana cules ndio mpira ule.. Mimi sio mmoja wa wale wanaoota eti barca atavuka hili shimo alilojichimbia leo, bado mna laliga na copa del roy
However, lets give PSG big credit, they did a wonderful job that we occassionally see.
Naikumbuka vizuri celtaWote tunajua Roberto ni dhaifu ndiyo maana Draxler kabeba ujiko, hata Torres alimhangaisha sana. Unaikumbuka Celta ya kina Nolito? hiyo ndiyo tuliipiga 6.
khe khe kheeee!Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Madrid kapoteza[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jack tugawane huo mshiko.