FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Well said bro. Hatu press afu tunarudi nyuma tukiwa tunashambuliwa tofauti na kipindi cha nyuma.
Namba mbili hatuna yule roberto hajui kushambulia kama rb na hajui kukaba kama rb
Kwakweli saizi hamna team, saizi hata kuangalia match napata shida sana!!! Barcelona gani inashindwa kuposses mpira? Kufungwa sio shida hata huko nyuma tulisha fungwa mfano na inter ya morinho lkn tulikuwa tunacheza vzr na kupossess mpira mwingi!!!
Kwa msimu huu hata alves tu aliaza kuwa na possession zaidi yetu!!!
Poor Barcelona
 
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA

VIVA BARCELONA
Natamani iwe hvyo mkuu lkn kwa barca hii nikitu ambacho hakiwezekani mkuu
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Hufai kuwa mwanajeshi

yani alipigwa Simba 4 :0 halafu baada ya kwenda Zambia akamchapa mtu 5:0 na akasonga mbele

sembuse FC BARCELONA MIAMBA YA DUNIA
 
Hahaaaaa mkuu team haiko organised ndio maana na sema haya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA

VIVA BARCELONA
Mbona unatumia nguvu nyingi sana ya kutuaminisha..

FT: PSG 4 Barcelona 0
 
Paris saint-Germany 4 vs Barcelona 5

mints: 904

[emoji460]GoaL!!!!!Donald Trump
Long shot from white house

Assist by😛auL Makonda
 
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA

VIVA BARCELONA

Unakumbuka bayern alichowafanya 2013....First leg kawagonga 4-0 pale allianz arena..Second leg oh sijui messi mara ooh tutakua Nou Camp na bado mkagongwa 3-0....Aggregate score 7-0...Subirini kombe la mfalme ndo ushauri wangu...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii barca ya sasa tia maji tia maji sio ile ya tuliowafunga wakina AC milan. Unamwachia Dani Alves aondoke freely halafu unamnunua Mathew, Varmaleen. Kocha hafai coz ameshindwa kufanya organizesheni kwenye mid field yaani mpira uende ukakabiwe gorini na mabeki wakishirikiana kipa daaah ni hataree. MAURICIO POCHETINO inaweza ikawa mbadala wake na mess mpaka leo hajaongezewa mkataba na mkataba wake unaisha 2018 hauoni kama ni hatareee
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jana mlikuwa mdebwedo kweli kweli.Hakuna mchawi hapo.Timu yenu imeanza kuzeeka inahitaji kusukwa upya.Kuleta kizazi kingine cha vijana.
 
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA

VIVA BARCELONA

1. Mkuu nimetoka kuongea na Unai Emery amesema hawatapitia Italy, ila watashuka kwanza Munich wawaulize Bayern walichowafanya Camp Nuo.

2. Mods inatakiwa ufike muda muanze kunote hizi ahadi na muhakikishe watu wanatimiza/timiziwa ahadi zao.
 
poa mkuu. ila kutuita cules nafikiri ni sawa na mzungu kumuita black nigger japo siyo vibaya black kwa black wakiitana🙂.
Ahahaha.... Kwa hiyo kukuita cule ni lazima na mimi niwe shabiki wa barca damu?

Hata hivyo barca is my second favorite team!! To be frank i'm gooner
 
Barcelona allowed to sign new player outside of transfer window to replace Aleix Vidal

Barcelona suffered a terrible blow to their squad depth when full-back Aleix Vidal underwent surgery on a dislocated ankle and has been ruled out for the rest of the season.

With 16 La Liga matches, a potential seven Champions League games and the Copa del Rey still to come this season, the Blaugrana cannot afford to play over 20 matches with only one right-back in the squad.

Sergi Roberto is not in the best form of his career, which also doesn't help matters, and even though manager Luis Enrique could use Javier Mascherano as an option in the position, the best decision is to incorporate a new right-back into the squad until the end of the season.

And according to the rules, Barça can look to the transfer market to find a new player. If there is a confirmed season-ending injury, Spanish clubs are allowed to sign players outside of the transfer window, but only under two conditions:

  • The player is in La Liga OR out of contract
  • The player can only be used in Spanish competitions
There are very good right-backs in Spain, like Mariano of Sevilla, João Cancelo of Valencia and Mario Gaspar at Villarreal, but those three players are key members of their teams and they won't be sold in February. Douglas Pereira is playing on loan at Sporting Gijón and could be recalled, but given he was basically useless for two seasons, it wouldn't be a good decision to bring him back, even as a cover.

The best and easiest option that wouldn't cost any money would be to promote a player from Barça B to the first team. The two full-backs, Sergi Palencia and Nili, have played for the first team and are promising youth products in the position, and could use the opportunities. They can also be used in the Champions League, which is not an option for a potential signing.

What would you do to replace Aleix Vidal, Barça fans?
 
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA

VIVA BARCELONA
Zamani tulikuwa tukienda kuangalia game ya barcelona mpira ukianza tu unaskia hivi pique.. Alves!! Alves.. Xavi!! Xavi to Iniesta iniesta to messi! Messi back to Iniesta!! Iniesta to Pedro now it's messi again...Messsiiii. pepe! Khedira! Khedira lose the possession to Busquets!! Busquets to Xavi!! Xavi!! Pedro!! Pedroooo!!

Yaani majina ya wachezaji wa barcelona unayasikia mara kumi wakati huo majina ya wapinzani wanaocheza nao unaskia mara moja au mara mbili tu utafikiri barca wanacheza peke yao.. Ninachotaka kusema ni hivi barcelona hii ya sasa ambayo midfield yake inawekwa mfukoni na watoto wadogo kama Verrat na Rabiot sio ya kufanya maajabu hayo unayosema!! Barca ya kufanya hivyo ilikuwa ni ileeee ya gadiola(2009-2012) ile ambayo timu zilikuwa zinafanya kila liwezekanalo ziongoze kundi hili kuepuka kupangwa nayo hatua kama hii.

Hii barca ya sasa hivi ni MSN tu huku pengine pote pa kawaida sana na pakishikwa tu hata hiyo MSN inakuwa ni toothless kama ilivyokuwa jana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
upload_2017-2-15_16-45-51.png
 
Attachments

  • upload_2017-2-15_16-44-28.png
    upload_2017-2-15_16-44-28.png
    116.7 KB · Views: 34
Back
Top Bottom