Kwakweli saizi hamna team, saizi hata kuangalia match napata shida sana!!! Barcelona gani inashindwa kuposses mpira? Kufungwa sio shida hata huko nyuma tulisha fungwa mfano na inter ya morinho lkn tulikuwa tunacheza vzr na kupossess mpira mwingi!!!Well said bro. Hatu press afu tunarudi nyuma tukiwa tunashambuliwa tofauti na kipindi cha nyuma.
Namba mbili hatuna yule roberto hajui kushambulia kama rb na hajui kukaba kama rb
PSG watabebaBora muondoka muache njia Real Abebe cha 12
Natamani iwe hvyo mkuu lkn kwa barca hii nikitu ambacho hakiwezekani mkuuWatu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
Hufai kuwa mwanajeshiNatamani iwe hvyo mkuu lkn kwa barca hii nikitu ambacho hakiwezekani mkuu
Hahaaaaa mkuu team haiko organised ndio maana na sema hayaHufai kuwa mwanajeshi
yani alipigwa Simba 4 :0 halafu baada ya kwenda Zambia akamchapa mtu 5:0 na akasonga mbele
sembuse FC BARCELONA MIAMBA YA DUNIA
Mbona unatumia nguvu nyingi sana ya kutuaminisha..Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Mkuu kwani mlichezesha kikosi cha pili?? Naona duuh hali ya hewa imealibika humu.Leo MSN wangecheza tungeshinda hata goli 5
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
Ahahaha.... Kwa hiyo kukuita cule ni lazima na mimi niwe shabiki wa barca damu?poa mkuu. ila kutuita cules nafikiri ni sawa na mzungu kumuita black nigger japo siyo vibaya black kwa black wakiitana🙂.
Zamani tulikuwa tukienda kuangalia game ya barcelona mpira ukianza tu unaskia hivi pique.. Alves!! Alves.. Xavi!! Xavi to Iniesta iniesta to messi! Messi back to Iniesta!! Iniesta to Pedro now it's messi again...Messsiiii. pepe! Khedira! Khedira lose the possession to Busquets!! Busquets to Xavi!! Xavi!! Pedro!! Pedroooo!!Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
Real....kwa team mbovu kama Ile...labda bayern munich...PSG watabeba