FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Guys trust me we gonna come up camp Nou haya tunayoyazungumza wachezaji na management yameshayaona inawezekana Enrique end of season kwaheri...hr is boring for sure
Ki ufupi the Enrique era is over, na mkipata kocha mpya inabid apewe time
 
Uwezekano wa Barcelona kumtoa PSG ni sawa na uwezekano wa kwenda zanzibar kwa gari
kushinda 5 au sita kwetu siyo tatizo tumefanya hivyo mara nyingi. tutawapigia 3-4-3 na kumaliza mchezo. zanzibar mbona kunaendeka, hujui kuna magari ni amphibia?
 
No, mkitaka kuwafunga PSG mcheze 2-2-2-2-1-1
halafu mmuache Pique acheze mbele maana hawezi kuwazuia wale jamaa.
 
kushinda 5 au sita kwetu siyo tatizo tumefanya hivyo mara nyingi. tutawapigia 3-4-3 na kumaliza mchezo. zanzibar mbona kunaendeka, hujui kuna magari ni amphibia?
Kama ulisha wahi iona gari inaenda zanzibar ndio utaiona barcelona ikishinda 5-0.
Ki ufupi msha toka
 
hiyo haijawahi tokea. ninachosema ni kuwa tunauwezo na mara nyingi tumeonyesha kuwa kushinda 5 au 6 kwetu si tatizo.
Hiyo ni Champions league siyo mtoano first leg ukipigwa hizo 2nd leg ukitaka magoli mtafunguka hafu watawapiga counter attack mtapigwa sana beki zenu hazina mbio
 
liver alirudisha goli 3 ndani ya dk 45 kwenye fainali. siku hiyo umtiti na sergio wasio na spidi watakaa benchi. utakuwa moto kwenda mbele.
 
Reactions: PNC
liver alirudisha goli 3 ndani ya dk 45 kwenye fainali. siku hiyo umtiti na sergio wasio na spidi watakaa benchi. utakuwa moto kwenda mbele.
Unatembelea nyota ya Liver acha kijana kwa uchezaji wa Barca hakuna jipya mtatandikwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…