Lucho must go i said me nitakua wa mwisho kusema hii statement ,ametufanyia mengi mazuri lakini muda wake umeisha tactically team sioni performance nzuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hii ya leo kali
Ila siyo mbaya kwa kweli droo ilikuwa ina waumiza majirani tunapenda na nyie muwe na utulivu kdogo.
Ila this is one of the poorest barca may be in last 8 years