py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Kumbuka Eusebio aliipandisha Barca B ligi kuu lakini sababu ya sheria Cordoba wakachukua nafasi hiyo na baada ya hapo vijana wengi wakaondoka Denis Suarez, Munir nk na hivyo Barca b haiko stable na ukizingatia alikuwa daraja la kwanza. ..jamaa anafanya kazi nzuri sociedad na saizi wanashindana na atletico nafasi ya 4naona karata kubwa ipo kwa Jorge Sampaoli wa Sevilla. jamaa ni bonge la tactician. jamaa ana historia nzuri sana. Eusebio ni mzuri lakini walimtimua sababu barca B ilikua inazingua. sampaoli ni moja ya makocha bora kwa sasa
Candidates waliotajwa ni sampaoli ,eusebio ,valverde ,lakini sioni kama sampaoli ataondoka sevilla hivi sasa
Endapo Luis Enrique asipo ongeza mkataba namuona kabisa eusebio anatua..sampaoli ana fit nafasi ila probability kumpata