FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We 3D maisha yalivyokua magumu hivi bongo si nitampiga chura teke?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio ujue
Kwanza lazima wawafunge
Pili mkishinda nyingiiiii, yaan siku hiyo kwao wanakuwa walilala bar labda
Itakuwa 3-1, yaan hiyo pia wawe wamepewa na red card.
 
6-1 Neyma... goal la 2
 
Ulisema utahama Trump akiwa rais[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mli niquote vibaya bwana Dumila.

Hi kashfa sjui ni isafishaje. Hahaha
 
wametunyima penalty ilatumepiga mpira mwingi, hasa Neymar. ila Rafinha ajitahidi kuona wenzake.
 
Meess ni nouma kumuuuza mess ni hasara kubwa barcelona wanamuuza msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…