FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Washikaji leo ni siku ya bahati sana Mungu amenionyesha kwa mifano thats why Barcelona ataisimamisha dunia
I feeel like dying niliandika dakika chache kabla ya match to show my faith is valid
 
Reactions: GUI
kweli kabsa mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
PNC 1 they looked at us like we were joking aisee !!leo can u imagine nilikua nawa filter washabiki wa kweli wa Barca (wafia chama) na wasio wa kweli
 
Reactions: PNC
PNC 1 they looked at us like we were joking aisee !!leo can u imagine nilikua nawa filter washabiki wa kweli wa Barca (wafia chama) na wasio wa kweli
ila mkuu BARCA tumetoka mbali nashukuru kwa hamasa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…