FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kunakitu barcelona imejifunza goli la ugenini ni muhimu sana haya tym ngumu ambayo inaweza ikatusumbua ni bayern
 
Japo kwa shingo upande...
Hongereni mashabiki wa Barca...
Upande wangu Neymar ndio anastahili kuwa man of the match katika match ya Leo...
Tukutane El-Clasico..!

I agree with u. Neymar ndo katurudushia furaha wakat wa huzuni. Kashinda freekick goli la nne, penati goli la 5 na ka assist kwa cross goli la 6 la Sergi Roberto. VISCA BARCA!!![emoji173][emoji173][emoji173] Wamenipa furaha sana leo, they did the impossible.
 
Ahsante Mungu kwa kuninyanyua dhidi ya fedheha!
a6f77d672116201ff587b3c6ddecfe6c.jpg
 
jamaa watu wanamstahi sababu timu huwa inakaza. lakini hana mbinu za kufaa timu kubwa kama yetu. lakini mambo bado maana sisi ni mabingwa wa visasi. celta msimu jana alitupiga nne marudio tukamla sita. na Alves naye juzi. it's not over till it's over. ngoja tujiliwaze na hili song.


asante mkuu
 
Watu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana

Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou

BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6

NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA


VIVA BARCELONA
[emoji3] [emoji3] tulipotoka ni mbal
 
Back
Top Bottom