FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-03-09-02-25-08-1.png

Ha ha kipindi cha kwanza PSG hata kati kati ya uwanja hawakufika ni sisi na goalkeeper wao !!small team PSG [HASHTAG]#Visca[/HASHTAG] Barca Vamoooos
[HASHTAG]#ibelieveinBarca[/HASHTAG]
 
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Nahisi nahitaji ushauri wa kisaikolojia hapo kesho.

Sija kaa sawa kwa sasa.

Karibu Bukavu.
Mimi nakufutia kibali chakuhamishwa nchi ,uaendelea kuishi bongo ili uzidi kuziona neema zetu za Barcelona
Ila nitakupeleka Zambia kapili Mposhi ukakae siku 3 then nakurudisha bongo au hata kitwe ili vijana wangu uliowasumbua waridhike kidogo
 
Timu ya ajabu sana hii.
Tumebahatika kuwa kwenye generation inayotazama one of the greatest soccer teams ever!
I salute you Barcelona F.C
Ni mshabiki wa Man utd ila nimeona nije kutoa dukuduku langu tuu.
Hongereni wakuu,your team is out of this world,ukiwa unacheki gemu za Barca,unakuwa na hamu ya kujua nini kitatokea muda mfupi ujao,they are unpredictable.
Wananikumbusha Man utd ya late 90's,timu ambazo ukikutana nazo hata uwe unaongoza 3-0 dk za nyongeza bado wewe shabiki wa timu pinzani ndio unaeteseka kwa presha hadi unajuta.kwanini mnaongoza ha haa!
 
Mkuu hongera i salute you for your fairplay
 
Mimi nakufutia kibali chakuhamishwa nchi ,uaendelea kuishi bongo ili uzidi kuziona neema zetu za Barcelona
Ila nitakupeleka Zambia kapili Mposhi ukakae siku 3 then nakurudisha bongo au hata kitwe ili vijana wangu uliowasumbua waridhike kidogo
Hamna mkuu kesho naanza safari yangu ila itabidi nipitie Mbuji Mayi ili niweke mambo sawa kabla sija fika Bukavu penyewe.
 
Back
Top Bottom