FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-03-09-05-48-48-1.png

Kati ya Iniesta na Basquets hivi ni nani Maestro? wote vipaji
 
Screenshot_2017-03-09-06-19-24.png

Well said Verrati,kijana mwenye dream yakuchezea barca ,tutaangalia kati yake na Dyabala nani atafaa end of season hata Isco pia asipoweka clause yakuzuia asihamie Barca Perez
 
Screenshot_2017-03-09-01-49-57.png

Demaria Angel...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]
 
Camp nou Time huwa inaenda slow. ni kama kwenye ile movie ya inception. Neymar alikuwa serious sana jana. Barca mechi za karibuni imekuwa bora sana.
Decisive game wanakua makini sana hata Neyma utoto anauacha sana !!ile free kick nili predict ni goal aliipiga kama ile juzi unakumbuka celta alivyowaua?
 
View attachment 478409
Well said Verrati,kijana mwenye dream yakuchezea barca ,tutaangalia kati yake na Dyabala nani atafaa end of season hata Isco pia asipoweka clause yakuzuia asihamie Barca Perez

matumaini ya kumpata verrati yamefufuka. media zilikuwa zinasema tungetolewa asingeona umuhimu wa kuja. Isco wamesema anauzwa Euro 30m. iwapo tutachukua treble itabidi tutafute RB tu wakumsaidia Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.
 
Du sijawahi ona namshukuru Mungu kushuhudia tukio hili pengine wote tulioshuhudia tumesamehewa dhambi nikiri wazi wazi barca hatari.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Barcelona sio watu wa mchezomchezo
 
matumaini ya kumpata verrati yamefufuka. media zilikuwa zinasema tungetolewa asingeona umuhimu wa kuja. Isco wamesema anauzwa Euro 30m. iwapo tutachukua treble itabidi tutafute RB tu wakumsaidia Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.
Mnapotea mkimkimbiza Luis
 
Back
Top Bottom