Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
PSG nao machoko tuukumbe inawezekana kwenda zenjikwa gar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PSG nao machoko tuukumbe inawezekana kwenda zenjikwa gar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeAki Barcelona ndio mta mtoa PSG hivo?
Labda PSG wawacheze under 12. Halafu nyie mchezeshe kikos cha leo chote
Japo kwa shingo upande...
Hongereni mashabiki wa Barca...
Upande wangu Neymar ndio anastahili kuwa man of the match katika match ya Leo...
Tukutane El-Clasico..!
Aseee niko frustrated hata mechi za el classico haziniumagi hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
Hapo hamna kitu mkuuKunakitu barcelona imejifunza goli la ugenini ni muhimu sana haya tym ngumu ambayo inaweza ikatusumbua ni bayern
HahaaaaaaPSG nao machoko tuu
Hahaaaaaaaapenati za uongo, faulo za uongo....Barcelona wamebebwa mpaka aibu
jamaa watu wanamstahi sababu timu huwa inakaza. lakini hana mbinu za kufaa timu kubwa kama yetu. lakini mambo bado maana sisi ni mabingwa wa visasi. celta msimu jana alitupiga nne marudio tukamla sita. na Alves naye juzi. it's not over till it's over. ngoja tujiliwaze na hili song.
[emoji3] [emoji3] tulipotoka ni mbalWatu mnamwaga povu pasipo kufikiri na pagan kafurahika sana
Kiukweli hakuna timu inayoogopewa duniani kama Barcelona na ili tupate zaidi morali ya ushindi hatupaswi mlaumu kocha kwa hizi wiki 2 zilizobakia bali ni kujipanga
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yenye mashabiki wanaotia moyo kama mashabiki wa Fc Barcelons hususani wanapokuwa Camp Nou
BARCELONA NI KAWAIDA YETU KUISHANGAZA DUNIA ILA KABLA YA YOTE HAO PSG WAPITIE ITALY wakawaulize AC MILAN tulichowafanya
Goli 5 kwa Barcelona ni ndogo sana hususani tunapokuwa Camp Nou
PSG atafungwa hata kwa kumuwekea mihadarati ila lazma apoteze na si chini ya goli 5 MIMI NAZIONA 7 NA IKITOKEA BARCELONA HATOPITA KWENDA ROBO FINAL NIPIGWE BAN YA MIEZI 6
NAIJUA BARCELONA NA HAITOTUANGUSHA
VIVA BARCELONA
Mnisamehe mm nilikata tamaa kabisa, mpaka jana niliandika kuwa I wish na kweli imekuaila mkuu BARCA tumetoka mbali nashukuru kwa hamasa yako
mkuu umeiangusha BarcaNatamani iwe hvyo mkuu lkn kwa barca hii nikitu ambacho hakiwezekani mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hufai kuwa mwanajeshi
yani alipigwa Simba 4 :0 halafu baada ya kwenda Zambia akamchapa mtu 5:0 na akasonga mbele
sembuse FC BARCELONA MIAMBA YA DUNIA