FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Magazeti yote Barcelona leo yameuzwa nusu bei,Mayor amependekeza Neymar apewe tuzo la Freedom of the city of Barcelona.Pundits wa mpira wanasema kwa hii formation ya 3 4 3 na high pressing-hakuna wa kumzuia Barca kuchukua treble
 
wafungaji UCL.

upload_2017-3-10_0-40-37.png
 
Magazeti yote Barcelona leo yameuzwa nusu bei,Mayor amependekeza Neymar apewe tuzo la Freedom of the city of Barcelona.Pundits wa mpira wanasema kwa hii formation ya 3 4 3 na high pressing-hakuna wa kumzuia Barca kuchukua treble
Jana barca walipewa( walinunua) penalty 2 za bure kabisa.
Waamuzi wanaharibu mpira sasa. Timu kubwa na kongwe zinapendelewa sana.
 
Wewe endelea kujidanganya hivyo hivyo wakati match ilichezwa nusu uwanja hata Ter stergen alikua fit na kupiga pass nyingi kushinda MidFielder wenu
Screenshot_2017-03-10-06-21-42-1.png
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-10-06-06-06-1.png
    Screenshot_2017-03-10-06-06-06-1.png
    69.3 KB · Views: 32
Statistics za match hizi hapa Barca deserved to win tena goal nyingi sana PSG wana bahati sana walijitahidi kupunguza idadi ya magoli na ole wake tutakayekutana nae Quarter final napendekeza iwe Madrid tuipige nje ndani
Screenshot_2017-03-10-09-04-20-1.png
 
Statistics za match hizi hapa Barca deserved to win tena goal nyingi sana PSG wana bahati sana walijitahidi kupunguza idadi ya magoli na ole wake tutakayekutana nae Quarter final napendekeza iwe Madrid tuipige nje ndani
View attachment 478894
Magazeti yote ya Barcelona ya leo yanataka quarter final ichezwe against R Madrid- yanadai on this form Madrid kupigwa 5 ni possible.
Bookmakers mechi dhidi ya PSG walikuwa na shaka kwamba Barca wangefanya kitu mbaya-,for Barca to go through waliweka hela ndogo,na PSG kuendelea waliweka hela nyingi
 
Jana barca walipewa( walinunua) penalty 2 za bure kabisa.
Waamuzi wanaharibu mpira sasa. Timu kubwa na kongwe zinapendelewa sana.
PEOPLE of your calibre ndio wanasababisha nchi yetu mama,Tanzania ibaki nyuma katika Nyanja zote za kitu inayoitwa Michezo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jana barca walipewa( walinunua) penalty 2 za bure kabisa.
Waamuzi wanaharibu mpira sasa. Timu kubwa na kongwe zinapendelewa sana.
Teh teh teh teeeeh!! You wish au inakupa relief?
Ushasema ni timu kubwa kwanini uwe na mashaka na uchezaji wao? We ipende tu maana kuichukua Barca ni kujitakia ugonjwa wa moyo.
 
Back
Top Bottom