Mbeleko upi mkuuMbeleko leo imeanza mapema. Bado penalty tu
Kivipi yaani Perez huyo au haumjui?Naona humu mida hii yanagonga gonga kaptura hahaha
We wanna come back very aggressively second halfduuuuh huyu Munir
siyo mbaya sababu ni Munir. ila inaonekana beki zetu zinazembea sana mipira ya juu. goli la Mangala na last week tulipigwa dizaini hiyo.duuuuh huyu Munir
Noo ndio ubaya wa 3-4-3 kuna loose loops nyingi sana nyuma incase ya counter attacksiyo mbaya sababu ni Munir. ila inaonekana beki zetu zinazembea sana mipira ya juu. goli la Mangala na last week tulipigwa dizaini hiyo.
Ngoma imeshalainika hiyo alietoka Mangala ndie alikua anatuchafulia (amepiga interceptions nyingi sana kama yeye ni midfielder vile)Mbili mbili ngoma ngumuuuu
kwa counter sawa lakini hizi tunapigwa ni kona.Noo ndio ubaya wa 3-4-3 kuna loose loops nyingi sana nyuma incase ya counter attack
Yaani mipira ya juu tunahitaji extra training hata kwenye ku attack konakwa counter sawa lakini hizi tunapigwa ni kona.
labda akija Yerry Mina.Yaani mipira ya juu tunahitaji extra training hata kwenye ku attack kona
Hiyo kadi Messi kachukua maksudi/tactically-magazeti ya leo yalizungumzia ujio wa hii kadi-na hata Pique ilibidi iwe hivyoGame tumeshinda king hatakuwepo next match kwa maamuzi yakiboya ya referee