FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2017-03-13-05-43-55-1.png

Hawa ndio Madrid wazee wa Red Card
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Usibadilishe topic, Le Mbeleko mmepewa kichapo and that's it. Sasa Marcelo angepewa red card ndio mngechomoa? Mlaumu refa aliyefumba macho wakati Suarez anadive mpaka anataka kujivunja kiuno ye hatoi penalty.
Sibishanagi na ma underground mimi ,low minds zakukaririshwa
 
Jamani Verrati huyo.... yuko free mwisho wa season amegoma ku sign new contract na nafsi yake inapenda aje Barca tushindwe sisi tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jamani Verrati huyo.... yuko free mwisho wa season amegoma ku sign new contract na nafsi yake inapenda aje Barca tushindwe sisi tu
Anapenda sana Barca dogo ana contact sana na wachezaji wa Barça hata juzi walim blackmail kuwa "we are finished" hatuwezi kupindua matokeo[emoji23]
 
TAARIFA MUHIMU...
Ndugu msomaji unaarifiwa kuwa itakapojiri tarehe 21/03 Ulimwengu wa Soka utakuwa kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de Assis Moreirra aliezaliwa katika viunga vya Port Alegre nchini Brazil...

Taarifa hii imetolewa na kusambazwa kwenu na msemaji wa AC Milan Afrika Mashariki ambae pia ni afisa habari wa mchezaji huyo barani Afrika Gang Chomba.

MOTO:
Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii
 
Back
Top Bottom