FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

League ngumu mkuu ila bado tutachukua tu kikombe hata kule jirani ana fixtures ngumu sana
Ukikutana na hizi team zilizopo relegation zone wanasumbua sana ,usisahau na uchovu wa wachezaji
Sasa ndio unagundua?
Si ulisema leo mnashinda 4.
Barca bila kubebwa ni laini sana.
 
Kama Deportivo LA coruna katutoa show hivi ndo UEFA Tukipangiwa BAYERN Munich Nahisi Zile 7 zinaweza kujirudia,Nimeshangaa refa wa leo kaongeza dk 3 baada ya 5 kama kawaida yetu.
 
Huu ndio mpira tumekubali matokeo over ,No barking here
imeniuma sana hii mechi. hasa tulivyo poteza mipira mingi kwenye 18 yao. hata hivyo bado kama 10 matches. tuombe Betis wakomae. niliwaona betis wakicheza na RSO, wapambanaji sana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom