FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

No Neymar no penalty. Poor Suarez tried so hard but he couldn't dive better
 
Deportivo vs Barcelona
Score: 2 - 2
Min: 99
[emoji460] [emoji460] Goal!! Eto'o

Assisted by: Abidal
, Basketlona
 
Duuuh....hiv la Liga n team gan walio ongoza kupewa penalt kat ya barca na Madrid msim huu...? mkuu ucwe haters sana...haisaidii... Barca tuko vizur kwenye football....Sasa cjajua kama unamanisha cc n wabovu tu ama

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
sasa ww unahisi nani anaogoza km sio nyie barca au tuletee takwimu hapa
 
bebweni na nyie[emoji3] [emoji3]
Mbeleko ilichanika leo.
Deportivo La Coruna 2-1 Barcelona

Ingawaje PSG walizinajisi mbinu za mpira, Barca bila mbeleko hawakuwa na uwezo wa kuitupa nje ya michuano PSG. Ushahidi ni huu.
SUN, 12 MAR 2017 SPANISH LA LIGA
Deportivo La Coruña 2 - 1 Barcelona

Depo ni timu iliyopo nafasi ya 15 katika msimamo wa La Liga.

Real Madrid pia amepigwa mbeleko leo.
Marcelo alitakiwa kupata Yellow card ya pili kwa kosa kama la mchezaji wa timu pinzani ambaye alipewa 2 yellow cards na kutolewa nje kwa red.

Timu za mbeleko ni shida.
 
Hujui mpira kaa kimya.
 
Deportivo vs Barcelona
Score: 2 - 2
Min: 99
[emoji460] [emoji460] Goal!! Eto'o

Assisted by: Abidal
, Basketlona
dfd4fee8b212c100e10efb6efe77159a.jpg
 
Madrid match ya 3 mfululizo opponent wao wanapewa red card ya kimaajabu ndio wanashinda kama leo hii

Usibadilishe topic, Le Mbeleko mmepewa kichapo and that's it. Sasa Marcelo angepewa red card ndio mngechomoa? Mlaumu refa aliyefumba macho wakati Suarez anadive mpaka anataka kujivunja kiuno ye hatoi penalty.
 
Lucho msengerema yani baada ya kuliweka chezaji lake gomes nje mechi 3 tukapiga goli 17 leo amelianzisha tumepigwa mbili moja

Tatizo Neymar hakuwepo kufanya diving sasa penalty mngepataje? Na refa nae ameshindwa kuwakilisha chama kabisa kwahiyo sawa Barcelona wamecheza one man down
 
Back
Top Bottom