Mbeleko ilichanika leo.
Deportivo La Coruna 2-1 Barcelona
Ingawaje PSG walizinajisi mbinu za mpira, Barca bila mbeleko hawakuwa na uwezo wa kuitupa nje ya michuano PSG. Ushahidi ni huu.
SUN, 12 MAR 2017 SPANISH LA LIGA
Deportivo La Coruña 2 - 1 Barcelona
Depo ni timu iliyopo nafasi ya 15 katika msimamo wa La Liga.
Real Madrid pia amepigwa mbeleko leo.
Marcelo alitakiwa kupata Yellow card ya pili kwa kosa kama la mchezaji wa timu pinzani ambaye alipewa 2 yellow cards na kutolewa nje kwa red.
Timu za mbeleko ni shida.