FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tumepigwa. Ila vijana walionekana wamechoka. Hii nadhani ni kutokana na game iliyopita dhidi ya PSG.

Messi busquet Suarez walionekana dhairi wachovu. Moaka hapo tumepoteza matumaini ya kupata laliga.
 
barca leo refa hajawabeba wamepigwa.....barca bila kubebwa na refa ushindi watausikia redioni tu
 
Back
Top Bottom