Mambo yap mkuunasikia Paco ndiyo mambo yake hayo. 2-1
Juve vs Barca J4 tar 11/04/2017Barca na sevila j5
Barca na malaga Jmosi
Juve na barca j5
Ahsante kwa masahihishoJuve vs Barca J4 tar 11/04/2017
Messi alihitaji eleven more games Zaidi ya Neymar kufikia 100 goalsNeymar kafunga goal lake 100. Pongezi kwake na barca fans pia. Still tunampressurise madrid.
MSN wame peak right on time-I feel so sooooory for Sevillaleo saa 2 na nusu usiku Sevilla watakuja abattoir kuona damu yao wenyewe. jamaa kwa mechi nne zilizopita hawajashinda hata moja.
kumlinganisha Neymar na Bale ni kukiuka maadili ya uandishi wa habari. kwa sasa hata Ronaldo hamgusi Neymar.Kuna gazette linamlinganisha Neymar na Bale-wasomaji wanataka Editor afukuzwe kazi-wanadai Neymar analinganishwa na king Messi au Suarez and nobody else
Huyo mwandishi anatakiwa kufukuzwa kazi. Huwezi kumlinganisha Neymar na vitu vya kijingakumlinganisha Neymar na Bale ni kukiuka maadili ya uandishi wa habari. kwa sasa hata Ronaldo hamgusi Neymar.