FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

SUBSTITUTES
13 J. Cillessen G
6 Denis Suárez
17 Paco Alcácer
18 Jordi Alba
19 L. Digne
21 André Gomes
28 Carles Aleñà
 
Kocha wetu anavyomng'ang'ania Gomes nafananisha na bongo mkuu anavyoendelea kumshikilia Bashite hata baada yakujua amefoji vyeti
 
Match ya leo kama mnaikumbuka march 8 (match of the year) We against PSG a.k.a Ramuntada ndio leo hadi team inavyocheza zinafanana hadi dk ya 09
 
Messi ni original champion vessel match kubwa kama hizi yeye ndio anapiga hat trick
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom