Mathiew ni mchomaji sana na haya majeruhi ndio yamemaliza kabisa..Nikweli anaaza mkuu
Gomez atakuwepo?Kikosi ni Mstergen, pique, mascherano, umtiti, mathew, ineista, ractik, robertho, neymar, Suarez, mess
Yuko beach mkuuGomez atakuwepo?
Afadhali nafasi yake aanzishwe hata Dennis SuarezYuko beach mkuu
ila mpendwa mechi na atletico alijitahidia. wakuu nawahi siti bar, ntarudi mechi ikiisha. hii mechi haistahili kuiangalia kwenye laptop.Weeee wee huyo mtu tunamuuza bure next season
kwa kikosi hiki barca hawachomoki hahaaha;....leo barca anapigwa kipigo cha mbwa mwiziJuve xi: Buffon, chiellin, Dan alves, bonucci, Alex Sandro, khedra, pjanic, cuadrado, dybala, mandzuk, higuan
Ha ha good boy kabisa.ana experience sana hilo silikatai ila tabia yake yake imeongozeka tangu apate majeraha mara mbili mfululizoila mpendwa mechi na atletico alijitahidia. wakuu nawahi siti bar, ntarudi mechi ikiisha. hii mechi haistahili kuiangalia kwenye laptop.
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]WAKUU LEO TUPO TURIN KUCHINJA MTU
kuwa mtulivu dakika ya 12King nahisi ame panic ogopa match ambazo anaingia na mentality hiyo
Match bdo sana najua na hua dk 15 Barcelona hua tuna style yetu yakuchezakuwa mtulivu dakika ya 12
sawa hakikisheni leo mna ichezaMatch bdo sana najua na hua dk 15 Barcelona hua tuna style yetu yakucheza