FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

JITAHIDI MTANI

SAFARI HII COMEBACK NI KWAKO SEMI FINAL

We tayari ushachinjwa. Lakini usiwe na wasiwasi tunawasubiri pale The Cathedral of Football, the Santiago Bernabéu Stadium au umesahau kuwa tuna game ya La Liga
 
Kuna faulo alichezewa 'S Roberto na manzukic (baada ya kwanza wote kupewa yellow ), refa akapeta na ilikuwa ni straight red Card, lakini hata yellow ya pili hakuitoa

Hivi hamuwezi kushinda game mpaka timu pinzani wapewe Red Card? Unataka kutoa lawama kwa refa bure wakati stats zinaonyesha kwenye dakika 90 zote Barcelona wamepiga shuti moja kwenye target.
 
We tayari ushachinjwa. Lakini usiwe na wasiwasi tunawasubiri pale The Cathedral of Football, the Santiago Bernabéu Stadium au umesahau kuwa tuna game ya La Liga
hlo siliwazi najua point 3 tyar tunazo kwenu mnakuwaga wepesi saaana
 
Kuna faulo alichezewa 'S Roberto na manzukic (baada ya kwanza wote kupewa yellow ), refa akapeta na ilikuwa ni straight red Card, lakini hata yellow ya pili hakuitoa
jana maamuzi hayakuwa fair, wanataka kutushusha kwa lazima.
 
jana maamuzi hayakuwa fair, wanataka kutushusha kwa lazima.

Red Giant bhana, unataka kuleta lawama badala ya kuangalia timu yako imefanya nini. Jana mmecheza chenga twawala tu, dakika 90 shuti moja tu kwenye target wakati Juve walikuwa na 32% ya possession wamepiga mashuti kama 15 hivi. Mmezoea penalty inabidi Neymar afanye mazoezi zaidi ya kudive
 
sema shuti moja kwa mtu ambaye hakucheki anaweza sema kweli tulicheza chenga twawala. kiukweli tulicheza vizuri kuliko na PSG pia tulitengeneza nafasi nyingi sana. cheki ilivyokuwa.
 
hawa jamaa mechi ijayo tunawapiga na kusonga. matthieu na mascherano inabidi wapumzike acheze Alba. pia Busi akiwa ndani semifinal ile pale.
 
Reactions: PNC
jamaa ameshika kwenye box. siyo ball to hand ile sababu mkono haukuwa kwenye natural position. manzukichi ile faulo kwa roberto ilikuwa ni second yellow.
kwa kweli ile ilikuwa ni ngumu sana kwa refa kuiona, mi mwenyewe ilibidi nije kuirufia u tube, mlipoteza nafas nyingi sanaa za wazi.
ingeweza hata kuwa 3-2 sema ndio ilikuwa day yenu ya kufa
 
Hamna siku nimefurahi kama jana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safari yenu imewadia heheheheheheheheeeeeeeee mlione kibonde psg heheheheeeeeeeee pigaaaaaa!!!
 
Hamna siku nimefurahi kama jana!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safari yenu imewadia heheheheheheheheeeeeeeee mlione kibonde psg heheheheeeeeeeee pigaaaaaa!!!
hata psg walivyotupiga mlishangilia hivihivi. mkajiaminisha kuwa wakina Draxler, Rabiot na Verrati hawawezekaniki. leo mnaiita vibonde.
 
Reactions: PNC
hata psg walivyotupiga mlishangilia hivihivi. mkajiaminisha kuwa wakina Draxler, Rabiot na Verrati hawawezekaniki. leo mnaiita vibonde.
PSG hata ligi ya kwao yenyewe inawashinda, yaan ile siyo tim hamna kitu pale
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…