FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

This is the worst comment in football this year damn [emoji23][emoji23][emoji6][emoji6]
Endelea kujichekesha Juventus sio wasindikizaji kama PSG,na hii,Barcelona ya sasa ni mbovu
 
mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.
swali ninalojiuliza hivi Mathiew na Gomes wamempa nini Enrique hadi hajielewi?
 
JANA JUVE KABEBWA ILA .WATU KIMYA NA REFA NI MZURI

ILA WAKIJA NYUMBANI WAKISHUGHULIKIWA MNAANZA KELELE TUMEBEBWA

Tunawataka Bayern SEMI FINAL
We waache match nimeangalia kuanzia dk ya 0-90 sijatoa comment yeyote ya kubebwa kwa Juventus huu ni ushahidi tosha sisi ni mashabiki wa kweli wa football
Offside zao ,handballs zao zote tumeziona na kuamua kutulia kimya
 
aaah
ni kweli hasa refa akisha wapa penat 2 mta pita tena.
ila ipo siku mpira utawafundisha kuwa nyie ni tim mbovu

Madrinyonyo akishinda nyingi home or home away.cc wanaBarca. Why Hatusemi mnabebwa?

Ngoja sasa nou camp tutawashikisha adabu, najua mtakuja na visababu vyenu hapa.
 
Back
Top Bottom