FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#

[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#

[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Barcelona#
 
Gomes kajitahidi ila nahisi angeingia Alba kisha Roberto ndiyo angeenda kuwa kiungo wa nne. lakini hawa camp nou tunawakalisha. mtu mzima Busketi akikaa kati mambo yanakuwa mazuri. ila style ya kuweka beki nne inatucost sana. [HASHTAG]#vivabarca[/HASHTAG]
 
hapana nyie mna such shyte players.
toka weeekend nakwambia timu yenu ni mbovu kwa sasa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
uwanya wa juve ukijaa ni watu 40,000 hawawezi survive kelele za watu 99,000 Camp Nou. hii beki ya juve mnaisifia leo mtaitusi sana jtano ijayo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
hapana nyie mna such shyte players.
toka weeekend nakwambia timu yenu ni mbovu kwa sasa
mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaan nimeshindwa hata kukujibu kwa hoja

ntakuja kesho
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom