FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Poleni majirani ndio ukubwa huo
Mbereko mara 1 tu
Bayern kwa Arsenal
Barcelona kwa PSG
Madrid kwa Bayern
[emoji23]
 
jamani wana jamii ni app gani ya kuhack coin dream league soccer kama unajua ni inbox 0656960873 asante ipo
 
Bonucci,Chielini,Sandro,Alves,Cuadrado...na Mandzukic wameituliza Barca leo.
Offcourrse Alves na Mandzukic wametoa mchango mkubwa kuidhibiti Barca kwa kuwabana Sergi Roberto na Alba,Barca walizoea njia kuu zenye lami kulia na kushoto ni za kwao tu,sasa leo walikuwa wakipandisha zile altezza zao za pembeni,njiani inakutana na Subaru zaidi ya moja zikishuka kasi!
 
Hata kipa wa Juve angekaa Le Mutuz basi Barca wasinge shinda...

Hah hah hah hah Nafwaaaa
 
Back
Top Bottom