hicho ndiyo kikubwa. uzuri tunajua tulipoteleza.Sometimes we lose. Sometimes we win. But one thing never changes: we are BARCA and we’re the best club in the world
Ni kweli mkuu ILA MASHAMBULIZI YANAHAMIA KWA MADRID HYO JUMAPILIhicho ndiyo kikubwa. uzuri tunajua tulipoteleza.
hamna uwezo wa kumfunga madrid nyieNi kweli mkuu ILA MASHAMBULIZI YANAHAMIA KWA MADRID HYO JUMAPILI
you guys mna kikos kibovu kocha hana tatizoAs a Barca fan, nilijua/na kuwaambia toka mwanzo kuwa msimu huu Barcelona tusitegemee chochote kwa sababu moja kubwa -Kocha hajui anachokifanya, hajui nini afanye wakati gani, kukomaa na watu wasiokuwa na uwezo sababu tu aliwasajili, na weekend hii akipanga kikosi cha kizembe, Madrid ni lazima waue
Ametumia {150m kununua wale underperforming playersyou guys mna kikos kibovu kocha hana tatizo
yesAmetumia {150m kununua wale underperforming players
Haya ndio maneno ya shabiki wa kweli wa timu yake vipindi hivi huwa vipo kwa kila timu poleni jamani.Sometimes we lose. Sometimes we win. But one thing never changes: we are BARCA and we’re the best club in the world
Kabla ya kutafuta timu unatakiwa ujiandae kwa kipigo cha mbwamwizi hapo Bernabeu hakika itakuwa siku mbaya kwa Zidane maana mmezoea mbelekoTantalila za PNC 1 na wenzake zinaanza kupungua mdogo mdogo mpaka ikifika mida hii Jumapili watakuwa washahamia Atletico au Juventus.
Timu zote zilzobak twaweza shabikia kasoro ile timu mbelekosasa mkodi tim zenyu za kushabikia jaman majirani tafuteni team nzurii
Eh unàsemaje?Uwe na akiba ya maneno
Enzi ya barca imeshapita messi sahv ni bingwa wa kuweka rangi nywele kuliko kucheza mpiraFair play game over hongera Juve ,hongera sana Barcelona kwa kuonyesha mpira mzuri you are still the greatest team in the world OVER
Lazima mfeEl Classico inakuja Jumamosi Barca hawawezi kutuangusha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106]
Story za vijiweni hizi ,hivi nikuulize UEFA top scorer mwaka huu ni nani?top scorer laliga ni nani?au standard za wapi unatumia?Enzi ya barca imeshapita messi sahv ni bingwa wa kuweka rangi nywele kuliko kucheza mpira
Ha ha unajifariji brotherLazima mfe