Kwa timu IPI ya kuifunga real Madrid??Leo Madrid akifungwa chini ya goli 3 nafuta ushindi nahesabia wao ndio wametufunga
bro unaongea vitu gan hivo!!Leo Madrid akifungwa chini ya goli 3 nafuta ushindi nahesabia wao ndio wametufunga
Kwani we unajua kuna Barca ngapi?Kwa timu IPI ya kuifunga real Madrid??
Acheni kujilisha upepo jamani, hamtakaa mshibe never!
Cr7 [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Hashimu Rungwe[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
Chini ya goal 3 ni neal tunahesabu and i mean itbro unaongea vitu gan hivo!!
leo mnakuja kutafuta droo, nayo mtaitafuta sanaa zaid zaid mna fungwa nyingiiChini ya goal 3 ni neal tunahesabu and i mean it
Draw ili iweje ?Psychology ya barca hamtakuja kuielewa milele ninachokizungumza nakijua na ndio kitakachowatokeeni leoleo mnakuja kutafuta droo, nayo mtaitafuta sanaa zaid zaid mna fungwa nyingii
hahahahaDraw ili iweje ?Psychology ya barca hamtakuja kuielewa milele ninachokizungumza nakijua na ndio kitakachowatokeeni leo
Neymar mwenyewe huwa hana impact mbele ya carval refer game ya juve Alves alivyokuwa anamdhibiti ..mechi ngumu huwa hajikazikumkosa Neymar kutatuumiza. Carvajal atakuwa anajipandia tu.