Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
mi naona Neymar nni figter sana. sema mechi ngumu wanamjia watatu watatu. pia anachezewa sana rafu. kungekuwa na tuzo ya rafu angechukua. paco ni mtu wa kulishwa. Turan naye hatabiriki. inaweza kuwa wazo zuri kumuanzisha Turan, amewahi fanya vema ile nafasi.Neymar mwenyewe huwa hana impact mbele ya carval refer game ya juve Alves alivyokuwa anamdhibiti ..mechi ngumu huwa hajikazi
Kama mbele wakichezeshwa alcacer,sua,messi basi Barca anakufa ,Luis akiwa timamu Turan acheze upande ule