FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Neymar mwenyewe huwa hana impact mbele ya carval refer game ya juve Alves alivyokuwa anamdhibiti ..mechi ngumu huwa hajikazi

Kama mbele wakichezeshwa alcacer,sua,messi basi Barca anakufa ,Luis akiwa timamu Turan acheze upande ule
mi naona Neymar nni figter sana. sema mechi ngumu wanamjia watatu watatu. pia anachezewa sana rafu. kungekuwa na tuzo ya rafu angechukua. paco ni mtu wa kulishwa. Turan naye hatabiriki. inaweza kuwa wazo zuri kumuanzisha Turan, amewahi fanya vema ile nafasi.
 
Suarez sio mzuri sana kwenye footwork japo mtaalamu ndani ya box ,paco hivyo hivyo ,na kwenye kiungo Raki amedrop msimu huu

Ili kuweza kumiliki mpira kwa kiasi paco asiwekwe ,kidogo Wenye kumiliki mpira wacheze nafasi ile

Adre Gomes wa Valencia angeziba nafasi ile ila huyu wa sasa kawa butu mzito na tofauti kabisa

Mie naona Arda,Denis au Gomes wacheze huko ila Denis ajikaze
 
Neymar mwenyewe huwa hana impact mbele ya carval refer game ya juve Alves alivyokuwa anamdhibiti ..mechi ngumu huwa hajikazi

Kama mbele wakichezeshwa alcacer,sua,messi basi Barca anakufa ,Luis akiwa timamu Turan acheze upande ule

Wewe unaongea shudu kabisa umeangalia vizuri performance ya neymar siku za hivi karibuni
 
Wewe unaongea shudu kabisa umeangalia vizuri performance ya neymar siku za hivi karibuni
Nimemtizama vilivyo bado akikutana na timu ambazo zipo aggressive huwa anaanguka anguka na huwa anadribble side way kwenda kulia..

Japo msimu huu yupo onform
 
Wazee hongereni sokitegemea kama mtacheza kwa kiwango hiki..... Binafsi natamani mshinde kwa maana naona mnastahili
 
Dunia ingewadharau sana kama pamoja na kupunguziwa mtu tena Ramos na bado mkagawana nao point.

Hii game ingeisha kwa droo Marcelo ndio angekuwa man of the match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…