Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui hawa madogo na kiherehere chao kujidai kukaba malijendari. muone Casemiro naye.Jamani mwenye kapicha atupie,kuna mda Assensio alienda kumkaba Iniesta,almanusura Iniesta amtegue nyonga mtoto wa watu,
utafikiri shaolin soccer. Marcelo kichwa kilivimba akajisahau kuwa ni beki. GOOomes alikuwa sharp. tunajua mpira hadi siyo vizuri.Heshima kwa Sergio Roberto
Huyu Roberto inabidi arudi kwenye nafasi yake ili afanye mambo makubwa zaidi, hii ya ubeki atafutwe mtu mwingine tuutafikiri shaolin soccer. Marcelo kichwa kilivimba akajisahau kuwa ni beki. GOOomes alikuwa sharp. tunajua mpira hadi siyo vizuri.
Sure S.Roberto ana potential kubwa sana ya kuwa midfielder hatari sana pale katiHuyu Roberto inabidi arudi kwenye nafasi yake ili afanye mambo makubwa zaidi, hii ya ubeki atafutwe mtu mwingine tu
Hii picha watu wananiuliza hii T-shirt inasimamaje vile kwa mkono mmojaView attachment 500460 magic messi yaani kamudu kushika jezi yake kwa mkono mmoja.
zidane mwenyewe alimpigia makofi. ila Suarez ameanza kuwa kama Cr7.View attachment 500691
Wanakubali kiaina wanakubali
Ha ha match jana ilimkataa tuzidane mwenyewe alimpigia makofi. ila Suarez ameanza kuwa kama Cr7.
Messi anaishaga maajabu basi hata yeye atakuwa hajui tu kwanini shati imekaa vile pasipo kushikwa.Hii picha watu wananiuliza hii T-shirt inasimamaje vile kwa mkono mmoja
Quite unprofessional indeed sikutegemea iwe hivyo kwa world class player moreover kwa MarceloMarcelo what yesterday did nimemchukia alipiga elbow Messi intentionally, professional player hatakiwi ku behave kama vile it's disgrace and shameful
Ile timu imejaa wahuni tu...Real Thugdrid.Quite unprofessional indeed sikutegemea iwe hivyo kwa world class player moreover kwa Marcelo
Sio tu timu hata mashabiki wake hebu angalia hapo mtaani kwenu mashabiki wa Madrid wakoje? Si huku kwetu ni wavuta bangi na wasio na shughuli za maana. Huwa nawaambia watu ukiwa shabiki wa Barca hata lifestyle yako inabadilika unakua mtu flani hivi wa tofauti na kama una watoto jaribu mmoja kumforce ashabikie Madrid mwingine Barcelona halafu angalia academic performance yao hutoamini macho yako!!!!!!!Ile timu imejaa wahuni tu...Real Thugdrid.
Ramos
Pepe
Marcelo
Ronaldo
etc