FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

utafikiri shaolin soccer. Marcelo kichwa kilivimba akajisahau kuwa ni beki. GOOomes alikuwa sharp. tunajua mpira hadi siyo vizuri.
Huyu Roberto inabidi arudi kwenye nafasi yake ili afanye mambo makubwa zaidi, hii ya ubeki atafutwe mtu mwingine tu
 
Huyu Roberto inabidi arudi kwenye nafasi yake ili afanye mambo makubwa zaidi, hii ya ubeki atafutwe mtu mwingine tu
Sure S.Roberto ana potential kubwa sana ya kuwa midfielder hatari sana pale kati
 
Marcelo what yesterday did nimemchukia alipiga elbow Messi intentionally, professional player hatakiwi ku behave kama vile it's disgrace and shameful
 
Ile timu imejaa wahuni tu...Real Thugdrid.
Ramos
Pepe
Marcelo
Ronaldo
etc
Sio tu timu hata mashabiki wake hebu angalia hapo mtaani kwenu mashabiki wa Madrid wakoje? Si huku kwetu ni wavuta bangi na wasio na shughuli za maana. Huwa nawaambia watu ukiwa shabiki wa Barca hata lifestyle yako inabadilika unakua mtu flani hivi wa tofauti na kama una watoto jaribu mmoja kumforce ashabikie Madrid mwingine Barcelona halafu angalia academic performance yao hutoamini macho yako!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…