mtalimaK
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 245
- 232
Lucho anauwa la masia ila muda wake umeisha sasaNaongelea kabla hajaenda hamburger... Yaan nilijaribu kueleza n jins gan lucho c mtu wa barca...team Ina suffocate wakat Ina wachezaj wazur
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucho anauwa la masia ila muda wake umeisha sasaNaongelea kabla hajaenda hamburger... Yaan nilijaribu kueleza n jins gan lucho c mtu wa barca...team Ina suffocate wakat Ina wachezaj wazur
Liondoke hil li kocha...linatumia pesa nying wakat Lina wachezaj wenye vipaj weng kupita maelezo...huyu palcio c bora Sandro...? Yaan unauza gar mpya unanunua mtumbaAnachokifanya Zidane kwa wachezaji wa Madrid castilla sicho Anachokifanya Lucho kwa wachezaji wa la masia mwangalie Munir? Sandro? Grimaldo? Na wengineo
Halilovic si yupo palmas?Mkuu halilovic ndie best player wa sporting gijon wa mwez huu...anakamua Ile mbaya...n bonge la attacking mild field...huyu anatisha sana..Sema ndo tatzo la lucho..kutumia kina gomez wasio kuwa na msaada kabsa kwenye team
Leo wanaume wanacheza UEFA na Atletico Madrid nyie mnacheza na Nani??
Tayari R madrid wanaongozaLeo wanaume wanacheza UEFA na Atletico Madrid nyie mnacheza na Nani??
Msiye mpenda katupia tatu nil....[HASHTAG]#majiraneeeeeee[/HASHTAG]
Nasikia hashimu Rungwe amevunja screen ya mume wake na Shakira! Baada ya mnyama cr7 kutupia la 3!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mlikua mnacheza na vibonde wa UEFALeo wanaume wanacheza UEFA na Atletico Madrid nyie mnacheza na Nani??
roho imeniuma kuona anavyoassist. tuliuza silaha kwa adui.Dani Alves anaendelea kumvua nguo Batromeu
Idadi ya magoli ya Messi from day 1 siku kama ya leo 2005View attachment 503503

Mkuu unaelewaga unachokisoma???hopeless kabisaHahaha!...mkuu,kiuhalisia LEO10 ana long way kufikia GOAL-SCORING record ya CR7...maana wakati nyinyi mna furahia HEADER 22 za Messi...Madrid wanasherekea HEADER 103 za Rinaldo...ikiwemo na moja aliyofunga kweny derby juzi UEFA!!!
View attachment 504237