Kwa hiyo wamemdanganya kuwa Alba atakaa benchi ili acheze,Barcelona wanahitaji sana RB kuziba pengo la Dani Alves LB hata Umtiti anaweza kucheza.Kuna dalili za kuingia mkenge kama walivyokurupuka kumsajili Andre Gomes baada ya kusikia Real Madrid wanamtakaTheo Hernandez wants Barca over Real Madrid
Barcelona are closing in on a deal for Theo Hernandez and the left-back favours a move to Camp Nou over Real Madrid, as he will get more playing time, claim Sport.
Madrid have apparently made it crystal clear that Theo will be back-up to Marcelo and may have to get used to life on los Blancos’ star-studded bench.
Meanwhile, Robert Fernandez has spoken to the player and made it clear that if he opts to move to Barcelona instead, he will see plenty of minutes on the pitch.
walisema kuwa Alba ataenda Atletico kwa mkopo. huwa anazingua kwenye kupiga pasi za mwisho. huku RB tutafuta msaidizi wa Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.Kwa hiyo wamemdanganya kuwa Alba atakaa benchi ili acheze,Barcelona wanahitaji sana RB kuziba pengo la Dani Alves LB hata Umtiti anaweza kucheza.Kuna dalili za kuingia mkenge kama walivyokurupuka kumsajili Andre Gomes baada ya kusikia Real Madrid wanamtaka
Ndio narudi nikaangalie mkuuMatch ngumu Lakin tutashinda
Game dk ya 14 bado tunaicheza vizuri kuanzia defence na midfield tuna press juu kama kawaidaNdio narudi nikaangalie mkuu
Pamoja na kuwa majeruhi msimu huu Suarez,Neymar na Messi ndio wamemzidi Alba assist kwenye La Liga.Alba ataenda Atletico kufanya nini wakati kule wana Felipe Luiswalisema kuwa Alba ataenda Atletico kwa mkopo. huwa anazingua kwenye kupiga pasi za mwisho. huku RB tutafuta msaidizi wa Vidal. ila mengi yanategemea kocha mpya.
Tunakosa sana magoli i hate itNaona kama tumekosa speed
Hii mechi haitakiwi kudroo. Second half wakipanda kusawazisha tunawamalizaTunakosa sana magoli i hate it
Wepesi sana nimewastukia tunachotakiwa kufanya ni perfection za fowards wakipata nafasi yakufunga wafunge then kidogo....turekebishe human errors kwa mabeki ndizo zilizotu costHii mechi haitakiwi kudroo. Second half wakipanda kusawazisha tunawamaliza