FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Good news kwa cerebrity wetu king messi atamuoa mchumba wake wa muda mrefu ,mlimbwende mama wa wake wawili Antonella Rocuzzo tarehe 30-06-17
 
Renevado...Ter Stergen renewed contract-Goalkeeper bora wa laliga na dunia anayechipukia
 
View attachment 508070Breaking news........wadau wote wa Barca eneo lile la midfield watajaa mafundi Countinho in da house.....

Mkuu...I hope karata hii mtakua Mmeicheza vyema,jamaa ni moja kati ya viungo niliowakubali pale england,naona neymar apo atakua kaplay about 50℅ katika kumnasa kijana uyo wa brazil maana klopp alisemaga baada ya msimu kuisha hategemei kuuza mchezaji yeyote,hongeren!
 
Hivi football philosophers wanaposema Messi is the eight wonder of the world,na MSN is the ninth huwa huwaelewi-hapo sasa kigumu ni nini? kuambiwa husikii,hata macho hayaoni-kwenye classico si uliona-he came,he saw,he conquered
 
View attachment 508070Breaking news........wadau wote wa Barca eneo lile la midfield watajaa mafundi Countinho in da house.....
mkuu mwekundu napenda sana passion yako kwa barca, wewe na mwanamama jackline1 nawaelewa sana nikiona mmoja kati yenu kapost huwa nafungua huu uzi nijifunze kitu. big up sana kwa hilo mkuu

kuhusu hii inshu ya colontinho kuja barca sio kweli, hii ilikua kebehi tu na kuwazingua mashabiki, kama unakumbuka hii habari ilichapwa siku ya jumanne, siku moja baada ya Theo kufanyiwa vipimo madrid na hakuna mtu asiye jua jinsi mlivokua mnamuhitaji theo.

Baada ya kumkosa Theo ndio ikachapwa hii habari kama kuwa troll tu, pia isitoshe continho kasaini mkataba mpya mwezi wa kwanza/pili.
 
Mkuu Theo ndio nani?
 

Inawezekana unayosema yana ukweli Fulani...maana Klopp alishaweka ngumu na akasemaga Liver haitomtoa mchezaji wake yeyote Wa muhimu baada ya kumalizika kwa msimu huu...Sasa nimeshangaa wameipataje saini ya Countinho tena?
 
Wewe unaamini kabisa kwa soccer trends za sasa kama kweli Barca wanamtaka huyo Continho hata kama amesign mkataba mpya watamkosa?? When Barca come calling,huyo Continho anakuwa distabalised big time-modern players opportunity kama hizo hawaziachii,akijua fika Liverpool ku win silverware ni probability ndogo
 
kesho mechi zinapigwa mda mmoja saa 3 usiku. tunaenda kwa palmas madrid watawakaribisha sevilla.
 
Nimeangalia sources nyingi Velverde ndio kocha wetu ameweza kumshinda Juan Unzue(assistant coach wa Enrique) ambaye mimi binafsi nilipenda awe kocha wa Barca hata Neyma na Luis Suarez niliwahi kuwaona wanampigia chapuo
 
Nimeangalia sources nyingi Velverde ndio kocha wetu ameweza kumshinda Juan Unzue(assistant coach wa Enrique) ambaye mimi binafsi nilipenda awe kocha wa Barca hata Neyma na Luis Suarez niliwahi kuwaona wanampigia chapuo
Kwanini ulikuwa unampenda Unzue?
 
Nawish Velverde aje na Inyaki atusaidie winger ya kulia. Imepoa sana. Tena mkataba wake unaisha mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…