FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Good news kwa cerebrity wetu king messi atamuoa mchumba wake wa muda mrefu ,mlimbwende mama wa wake wawili Antonella Rocuzzo tarehe 30-06-17
 
Screenshot_2017-05-12-08-41-58-1.png
Breaking news........wadau wote wa Barca eneo lile la midfield watajaa mafundi Countinho in da house.....
 
Renevado...Ter Stergen renewed contract-Goalkeeper bora wa laliga na dunia anayechipukia
Screenshot_2017-05-12-08-39-50-1.png
 
View attachment 508070Breaking news........wadau wote wa Barca eneo lile la midfield watajaa mafundi Countinho in da house.....

Mkuu...I hope karata hii mtakua Mmeicheza vyema,jamaa ni moja kati ya viungo niliowakubali pale england,naona neymar apo atakua kaplay about 50℅ katika kumnasa kijana uyo wa brazil maana klopp alisemaga baada ya msimu kuisha hategemei kuuza mchezaji yeyote,hongeren!
 
Mkuu Huyo messi wenu si wakulinganishwa na ronaldo bhana...maana bado sana kwa CR7...sasa hivi bwana CR7 ndie Mfungaji bora ulaya katika LIGI KUU 7 BORA EUROPE NA SIO HUYO MESSI...CR7 Ameshavunja record ya jimy greevs...na sasa bado magoli saba TU avunje record ya GWIJI ALIYEICHEZEA CLUB YA SANTOS YA HUKO BRAZIL "PAUL NUTALI'S"...muulize neymar anamjua sana Huyo Paul Nutali's na Alitamani sana kufikia record ya magoli ya Huyo jamaa pindi alipokuwa pale SANTOS ili apewe heshima ya kipekee klabuni hapo lakini hatimaye alichemka na HESHIMA YA BWANA PAUL NUTALI'S IMEBAKIA MIOYONI MWA WASHABIKI WA SANTOS FOREVER...KWA SASA MCHEZAJI PEKEE ANAYETAZAMIWA KUFIKIA RECORD HIYO NI CR7 TU KWA MAANA ANA MAGOLI 400 KATIKA LIGI NYUMA KWA MAGOLI 7 DHIDI YA PAUL NUTALI'S MWENYE RECORD YA MAGOLI 407 YA LIGI...Hii ni kwa league(LaLiga) tu...ebu imagine LEO10 amemtangulia CR7 5-SEASONS OF LALIGA PALE SPAIN LAKINI RONALDO KACHEZA MISIMU 7 TU NA AMEMZIDI HUYO MESSI WENU MAGOLI KATIKA LIGI...

View attachment 507273 View attachment 507323

View attachment 507272 View attachment 507325 View attachment 507330

View attachment 507274

View attachment 507293

CR7 Si mtu mzuri yule jamaa anashindana Kufunga magoli na "TEAM AS A TEAM" na sio individual person kama LEO10...Ebu ona kwa upande Wa UEFA Champions League(Ligi ya vilabu bingwa ulaya) jamaa ana magoli mengi Kuliko ata TEAMS kama ATLETICO MADRID,BENIFICA NA NYENGINEZO...WAKATI HIZO TEAMS ZIMEANZISHWA ATA CR7 HAJULIKANI KAMA ATAZALIWA LAKINI AMEISHAZIZIDI MAGOLI UEFA...

View attachment 507284 View attachment 507329

View attachment 507302 View attachment 507327

Kuzihirisha CR7 ni habari nyingine katika swala la UFUNGAJI...ana viatu vinne Vya ufungaji bora katika ligi ya mabingwa ulaya mbele ya Huyo messi wenu mwenye vitatu...Na msimu huu naona messi haamini kinachotokea kuwa RONALDO ANAENDA KUONGEZA KIATU CHA TANO CHA DHAHABU KWENYE KABATI LAKE maana LEO10 ana MAGOLI 11 na Assist 2...Wakati CR7 Ana MAGOLI 10 na Assist 5...Hivyo ni swala dogo sana kwa CR7 Kupata hilo goli moja na kwa kuwa ameshamzidi LEO10 kwa assist this season 2016/2017 in UEFA Atapewa kiatu chake Safiii kabisa...hapa LEO10 haelewi kabisa CR7 NI KIUMBE WA AINA GANI KWA KUWA ALIMUACHA GOLI 9 NYUMA MARA IMEKASORO GOLI MOJA TU...YANI RONALDO KASHINDA MAGOLI 8 KATIKA MECHI TATU MFULULIZO WITH A BACK-TO-BACK HAT-TRICKS AGAINST BAYERN AND ATLETICO MADRID.

View attachment 507288

View attachment 507289 View attachment 507315 View attachment 507316 View attachment 507320

View attachment 507294 View attachment 507321 View attachment 507322

Bila kusahau GOLI LAKE ALILOWAFUNGA "AS ROMA" MSIMU ULIOPITA UEFA NDILO LILIPIGIWA KURA NA KUCHAGULIWA GOLI BORA LA UEFA MSIMU WA 2015/2016...NA BADO GOLI LAKE LA MWISHO ALILOWAFUNGA BAYERN KULE ALIANZ ARENA(FIRST-LEG) MSIMU HUU LIMEPIGIWA KURA KUWA BEST GOAL OF THE QUARTER-FINAL UEFA SEASON 2016/2017...

View attachment 507295

CR7 Ndiye mchezaji anayeongoza kuzifunga teams kubwa za ujerumani..na amewafunga GOALKEEPERS bora magoli mengi barani ulaya...wakiwemo Neur na Buffoni(sina wasi ata fainali historia yake ya kumfunga Buffon itajirudia)...messi hajawai mfunga Gianlugi Buffon...kashindwa hadi na dogo yule KYLAN MBAPPE Wa Monaco Jana...mkiambiwa mnasingizia Ooh!..ukuta Wa juve mgumu sana ule...kama hivyo ndivyo mbona yule dogo kamtoboa mtu mzima Buffon 2nd-Leg Jana?

->BINAFSI NAFATILIA SOCCER NA RECORDS ZA HAWA VIJANA WAWILI NAWEZA KUFANYA SIMPLE CLASSIFICATION BAINA YAO...KAMA IFUATAVYO...

CONCLUSION...

1st - "IT'S SIMPLY LEO10 SCORE GOALS BUT CR7 IS A DEFINITIVELY GOAL-SCORING MACHINE TESTED TO THE LIMIT..."

2nd - "LEO10 OWN THE PITCH BUT CR7 OWN THE BOX..."

3rd - "THEY ARE TWO DIFFERENT PLAYERS..AS A LEO10 IS A MASTER-DRIBBLE AND TALISMAN WHILE CR7 IS A MASTER-PACE AND GOAL-POACHER".....
Hivi football philosophers wanaposema Messi is the eight wonder of the world,na MSN is the ninth huwa huwaelewi-hapo sasa kigumu ni nini? kuambiwa husikii,hata macho hayaoni-kwenye classico si uliona-he came,he saw,he conquered
 
View attachment 508070Breaking news........wadau wote wa Barca eneo lile la midfield watajaa mafundi Countinho in da house.....
mkuu mwekundu napenda sana passion yako kwa barca, wewe na mwanamama jackline1 nawaelewa sana nikiona mmoja kati yenu kapost huwa nafungua huu uzi nijifunze kitu. big up sana kwa hilo mkuu

kuhusu hii inshu ya colontinho kuja barca sio kweli, hii ilikua kebehi tu na kuwazingua mashabiki, kama unakumbuka hii habari ilichapwa siku ya jumanne, siku moja baada ya Theo kufanyiwa vipimo madrid na hakuna mtu asiye jua jinsi mlivokua mnamuhitaji theo.

Baada ya kumkosa Theo ndio ikachapwa hii habari kama kuwa troll tu, pia isitoshe continho kasaini mkataba mpya mwezi wa kwanza/pili.
 
Mkuu Theo ndio nani?
 
Inawezekana unayosema yana ukweli Fulani...maana Klopp alishaweka ngumu na akasemaga Liver haitomtoa mchezaji wake yeyote Wa muhimu baada ya kumalizika kwa msimu huu...Sasa nimeshangaa wameipataje saini ya Countinho tena?
 
mkuu mwekundu napenda sana passion yako kwa barca, wewe na mwanamama jackline1 nawaelewa sana nikiona mmoja kati yenu kapost huwa nafungua huu uzi nijifunze kitu. big up sana kwa hilo mkuu

kuhusu hii inshu ya colontinho kuja barca sio kweli, hii ilikua kebehi tu na kuwazingua mashabiki, kama unakumbuka hii habari ilichapwa siku ya jumanne, siku moja baada ya Theo kufanyiwa vipimo madrid na hakuna mtu asiye jua jinsi mlivokua mnamuhitaji theo.

Baada ya kumkosa Theo ndio ikachapwa hii habari kama kuwa troll tu, pia isitoshe continho kasaini mkataba mpya mwezi wa kwanza/pili.
Wewe unaamini kabisa kwa soccer trends za sasa kama kweli Barca wanamtaka huyo Continho hata kama amesign mkataba mpya watamkosa?? When Barca come calling,huyo Continho anakuwa distabalised big time-modern players opportunity kama hizo hawaziachii,akijua fika Liverpool ku win silverware ni probability ndogo
 
kesho mechi zinapigwa mda mmoja saa 3 usiku. tunaenda kwa palmas madrid watawakaribisha sevilla.
 
Nimeangalia sources nyingi Velverde ndio kocha wetu ameweza kumshinda Juan Unzue(assistant coach wa Enrique) ambaye mimi binafsi nilipenda awe kocha wa Barca hata Neyma na Luis Suarez niliwahi kuwaona wanampigia chapuo
 
Kwanini ulikuwa unampenda Unzue?
 
Nawish Velverde aje na Inyaki atusaidie winger ya kulia. Imepoa sana. Tena mkataba wake unaisha mwaka huu.
 
Back
Top Bottom