FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hivi Wana Barca (Blaugranes) Wenzangu Vipi Mnauonaje ujio wa huyu Kocha Mpya Ernesto Velverde? Mkitizama utakuwa na impact gani katika timu, na Hii hatua yake ya kutaka Kumsajili Ander Herrera Mnaichukulia vipi?
 
Huyo kocha hana hadhi hata ya kuifundisha Mbao fc
 
Wazeee am here hii match inasumbua sana subscription zake hadi supersport hiki ki Azam chetu hawaonyeshagi
 
Kwa ufupi hamna team lofa inafikaga fainali so hapa catalans ni mwendo wa sura mbuzi mwanzo mwisho tunalichukua na kulibeba na kuichana chana Alves natamani tuwafunge goal sita kama siku ile....match ya league
 
Airtel wamezingua sana leo nashindwa kuangalia match online net hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…