FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We will support our team when we win,tie or lose We are real cules
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Messi hivi mnajua kua hua anakua na combination na Jordi Alba?[emoji23][emoji23] yaani inakua hatari balaa wakiicheza
 
Daaah Macherano amepata injury wamegongana juu kwa juu ,Gomes anaingia
 
Kila siku hua nasema Messi hua "anachonga" mpira na sio kuupiga kama tulivyozoea kwa binadamu wa kawaida
 
Back
Top Bottom